ZIMA MOTO hawa kweli kazi imewashinda.........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,172
pale ambapo moto umejizimikia wenyewe baada ya kumaliza kulamba mali za watu nao zima moto ndiyo wanajaribu kuuzima..................................ni kichekesho.....

DSC_0086.JPG

Askari wa kikosi cha zimamoto na Uokoaji cha Halimashauri ya Jiji la Dar es salaam wakipambana kuzima moto uliolipuka na kuteketeza majiko ya soko la Samaki la kimataifa la feli jana chanzo cha moto huo ni mlipuko wa mafuta katika moja ya majiko ya kukaangia samaki.(Picha na Rajabu Mhamila)
 
Kwa kweli mtu anaeliita hili genge la kuuzia samaki kigamboni eti soko la samaki la kimataifa nadhani kichwani mwake hazimtoshi
 
FUNZO: Watu wa mitaani hawajengewi kitu cha kimataifa, hawajafikia upeo huo.Mtu wa karai na mafuta hajui na hana mwelekeo wa kutumia jiko la gesi.
 
tatizo hawa jamaa hawakuwa na uongozi mzuri hapo zamani
am sure commissioner Nyambacha atabadili mambo sasa hivi
They need modern equipments na kufungua chuo chao cha mafunzo
imagine moto wa hapo wanashindwa wataawezaje kuzima moto wa kwenye migodi, bandari, magorofa, airport?
Am praying for the best
 
Alafu hakuna hata umbali hapazidi hata km 5 pale fire mpk feri sipati picha moto ubgetokea maeneo ya tegeta
 
Juzi kuna nyumba imeungua Tabata Kimanga- D'salaam, baada ya moto kuzimika wenyewe ndipo Jeshi la zima moto walifika. Nyumba iliteketea hakuna kilichobakia !.
 
kwa tabata kidogo nawatetea mbali alafu miundo mbinu haziwassuport foleni throughout the road,ila kwa soko la samaki kuungua hapo hawana cha msali mtume ni uzembe tu,by the way fire department inabidi ziwepo walau 5 kila wilaya sio dar nzima kutegemea za pale fire.
 
Back
Top Bottom