Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
pale ambapo moto umejizimikia wenyewe baada ya kumaliza kulamba mali za watu nao zima moto ndiyo wanajaribu kuuzima..................................ni kichekesho.....
Askari wa kikosi cha zimamoto na Uokoaji cha Halimashauri ya Jiji la Dar es salaam wakipambana kuzima moto uliolipuka na kuteketeza majiko ya soko la Samaki la kimataifa la feli jana chanzo cha moto huo ni mlipuko wa mafuta katika moja ya majiko ya kukaangia samaki.(Picha na Rajabu Mhamila)