Zile story za zamani.. jini mrefu kaonekana bondeni ana kanzu nyeupe zimeishia wapi???

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,993
34,212
habari wadau..

nakumbuka miaka ya 90 hizi story zilikuwa nyingi sana mitaani..

na wajanja wakapiga sana hela kujifanya waganga...

naona teknolojia imewaumbua...

waganga wa kienyeji mjiandae kufika 2030 hamtapata mteja hata mmoja watu wote watajua ukweli kuwa uchawi haupo ni myth tu
 
Ha haa aisee umenikumbusha mbali sana mtaaan
Kwetu tulikua tunatoka nyumban 5 asubuh kwenda shamba kuna
Mahaali.mkifka mnakutana na jiin dadek refuuuuuuuu kichz
Jeuz aiseeee nmekimbia sana
 
Ha haa aisee umenikumbusha mbali sana mtaaan
Kwetu tulikua tunatoka nyumban 5 asubuh kwenda shamba kuna
Mahaali.mkifka mnakutana na jiin dadek refuuuuuuuu kichz
Jeuz aiseeee nmekimbia sana
Sio kweli.
 
Back
Top Bottom