Kwa jinsi ilivyo, naona TCRA watafuata maelekezoyako ili Tanzania tusijue kabisa kinacho endelea. Hizo ethics ni kuwanyima watu habari muwaoneshe cartoons?? Kama Tdcccm ndio wanafuata ethics basi tuuze tv zetu tununue fridge tuweke huko juice za ukwaju.
Baada ya kukufikiria kwa muda mrefu, nimekosa kundi la kukuweka ila ITV itaendelea kuwa Supper Brand EA nzima.