Leonard Speed Lion
Member
- Jun 15, 2021
- 23
- 25
- Thread starter
- #41
Ni kweli kabisa hadi mda huu watu wanaliwa pesa....ahahhaha Hasa wanafunzi wa chuoTanzania watu wengi ni wapuuzi tu hata ukianzisha nyingine Leo Kuna mijitu utaipiga tu
Mtu anakuambia invest milioni Kila mwezi nakuletea laki 5 ukiwa umekaa tu na watu wanaingia mkenge! Maisha yangekua mepesi ivo nani angefanya kazi
Sema nachopenda wanaopigwa Sana ni watu wa mjini wanaojikuta wajanja
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app