Leonard Speed Lion
Member
- Jun 15, 2021
- 23
- 25
Habali za muda huu wapendwa.
Leo nawaletea uzi huu wa utapeli kwa njia ya Mtandao.
Tunapo ongelea maswala mazima ya biashara za mitandaoni moja kwa moja kuna faida zake na asala zake. Biashara nyingi zinazopatikanika mitandaoni zinakuwa na risk kubwa sana kwa sababu zinafanyika kwa njia ya Mtandao wa Internet na zingine kwa njia ya Network marketing.
Mascam wengi wa nje ya nchi na walipo hapa Tz wanajuwa watanzania wengi hasa vijana wanapenda maisha ya chap yaani ulime leo na uvune leo leo tena ulime kidogo na uvune nyingi kitu ambacho kwenye elimu ya kibiashara inakataa kabisa. Kwaiyo kwa kulielewa hilo wanakuta na mkakati mwingi wa kuhujumi pesa za watu kwa njia ya utapeli wa kimtandao.
Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tanzania mpaka leo bado zinawaibia watu;
1.BC investiment
2.QNET
3.EARNJET AGENCIES
4.DAJIP
5.NEXTSTEP VENTURE
6.PAMA FUND
7.SME
8.IDEA DEBATOR
9.DEAL NO.1
10.SCATEC
11.GLOBAL
12.ALIANCE
13.PAYMARA
14.CRYPTO BOND
15.SUPREME HARVESTERS
16.ZIRCON
17.INCLUSIVEFX
18.GROSSBYTE
19.VORTEX
20.T PURCHASE
21.FOREVER LIVING
22.D9 CLUB
23.RIFARO AFRICA
24.DEC
25.BIT CLUB
26.ZURI CASH
28.WHOZYUU HAWA KANDA YA ZIWA WANAWAFAHAM
29.ZEBU
30.MTFEE
31.CROWD ONE
32.ORIFLAME
33.YESSTYLE
34.MULA EMPIRE
35.NIPHERO1
36.TAKEALOT
37.AGAM
38.COTP
39.DREAM LIFE
40.GOLDEN INVESTIMENT
41.MYER
42.MEGAWEALTH
43. Umoja
44. Faida investment
45.kalynda huyu ndo ameenda na vichwa kibao kwa mbwembwe na matangazo na matshert vikao vya kutosha kilichowakuta watz MUNGU ndo anajua
46.bb bestibei E.COMMERCE COMPANY huyu anaanza tar 20 ya mwezi huu na bado watz tutalizwa tena.
47.Duttex
48.JATU PLC.
Hawa jatu nao washawaliza wengi tu kwenye maswala ya kilimo awako pele yao kuna investment nyingi tu wanajitangaza kwenye TV za kuwekeza kwenye kilimo mwisho wa siku ni usanii na utapeli hata kama wamesajiliwa brella.
Kila platform imewapiga watu saaana
Ukielezea kila moja na historia yake utachoka na hapo bado hazijaisha na kila moja ina mbinu zake za kuwapiga raia
Tufanye kazi Watanzania tuache maisha kitonga. Kama unataka kulima nenda shamba kakodi au kanunuwe shamba then lima.
Watu wameumizwa sana lakin hatusikii.
Mbali na kuwepo kwa changamoto hizi za utapeli kwa njia hii za kimtandao lakini Biashara halali zipo pia zinazofanyika kwa njia ya kimtandao japo risk ni kubwa sana.
Unaweza ukatumia website hii maususi ya kuscan usama wa link unayopewa na kupata information mzima.
www.scamadviser.com
Kalibu kueleze wizi huu unaofanyika kwa njia ya mtandaoni.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app