Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

Karibia nafikisha 35 yrs so nimesema kama nitagonga 35 sijapata wazo au sababu ya kuchepuka basi Siwezi kuchepuka asilani.
 
Ukishajua kwanini Babu yako alikuwa akirudi kutoka kwenye mihangaiko yake anapitia kwanza kwenye bao kisha mzigo anampa mtoto atangulize nyumbani ungegundua kuwa HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA .

Kikubwa oa mwanamke mwenye hofu ya mungu , ila kwa hapo kuna tatizo pia Mungu hawezi kukupa aliyetulia kama na wewe haujatulia in short anakupa wa kufanana naye hivyo ukiwa unaomba mke mwama omba wa kufanana na wewe ili usije kulalamikia watu hapa .
 
5,6,7,9 πŸ‘
 
Kwa uzi huu naanza mchakato wa kutafuta bikra, mke akichepuka unaweza U(A/WA), roho inauma sana tena sana.
Bikra si kigezo cha uaminifu , mkuu jua kuwa kuna vitu vingi vinachangia mtu kuchepuka kikubwa oa mwenye hofu ya mungu peke yake .

N.b
Nimevunja bikra nyingi na bado naendelea kuvunja
No stress , nawasaidia waoaji.
 
Hapa pa masomo hapa, ukishamuona mke wako uwezo wake wa akili ni average, akitaka kujiendeleza huko shule atatafuta msaada tu. kama ana hela Kuna vipanga wanafanya assignment kwa malipo, Kama hela hakuna kutakua na njia mbadala ya malipo.
Shemela, kuna inayokuhusu kwenye hiyo list?
 
Reactions: BAK
Kumbe sababu za wanawake walioolewa na kuchepuka huwa zipo kumi!
 
Mwanamke kuelekea 50 wataalam wanasema nyege zinaongezeka..ndo maana wamama umri huo huwaambii Kitu Kwa viserengeti boys..

Sasa huyu wa 35 anafikiri kamaliza tatizo
Halafu wakati huo nyege zinaongezeka huku mzee nae uwezo unapungua, plus kuchokana, magomvi. Ni kuomba Mungu tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…