Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,385
- 68,490
Mbongo wa kawaida Baiskeli tu kitendawili.
Ndio mambo yake hayaNimeona mtu kama Baba Miraji kwny hizo picha!!
Kweli kabisa mkuu.Raha za dunia hizo ndugu yangu.
Siku moja nililala Ramada Hotel pale Doha, Qatar ndio nikajua kwa nini wenzetu hawapendi kusikia neno kufa. Ukiwa pale hotelini hutapenda mawazo ya kuwa ipo siku moja utaiacha hii dunia.
Mkumbuke Mungu wako siku za ujana wako