Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

kiwiko

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
1,308
2,070
Habarini wakuu. Leo ningependa tuone nchi zenye watu wenye asili ya Afrika wengi nje ya afrika katika mitazamo miwili.

Kwa uwingi pekee
Hapa namaanisha idadi yao jumla katika nchi husika hata kama wao sio waliowengi dhidi ya jamii zingine.
Nchi hizo ni zifuatazo:
  1. Brazil 55,900,000
  2. United States 46,350,467
  3. Haiti 8,788,439
  4. Dominican Republic 7,985,991
  5. Colombia 4,944,400
  6. France 3,800,000
  7. Jamaica 2,731,419
  8. United Kingdom 2,497,373
  9. Mexico 1,400,000
  10. Cuba 1,126,894
Kwa uwingi (majority) dhidi ya watu wa jamii zingine
Hapa tutaona nchi ambazo watu wenye asili ya afrika ndo wanaongoza kwa uwingi dhidi ya watu wa jamii zingine.
  1. Saint Kitts and Nevis 98%
  2. Jamaica 97%
  3. Dominica 96%
  4. Haiti 95%
  5. Antigua and Barbuda 95%
  6. Grenada 91%
  7. Turks and Caicos islands 90%
  8. Barbados 90%
  9. The Bahamas 85%, Netherlands Antilles 85%, Saint Vincent and the Grenadines 85%
  10. Dominican Republic 84%
Nchi nyingi hapo juu zipo eneo la Caribbean. Kiffupi eneo hilo limekua kama Afrika mpya. Hivo wandugu hio ndo familia ya waafrika wanaopatikana pande mbalimbali za dunia, hapa takwimu zikiangalia zaidi maeneo walipo wengi zaidi japo utawakuta maeneo mengi tu ya dunia hii kama watu wengine.
 
Brazil walikuwa zaidi ya million 100 lakini washenzi wazungu wakaleta policy ya whitening kuiondoa rangi nyeusi 1960s. Na Wamefanikiwa kabisa kwasababu machotara ni wengi Na weusi waliobaki hawaoani Sana wenyewe kwa wenyewe Ni nadra Na wanajidharau sana. Pele kazaa Na mweupe watoto wake machotara.

Yani tayari wameshawapandikizia mbegu akilini kuchukia uweusi wengi wameintermarry Na natives. Upande wa Kaskazini Ni weupe wengi kusini weusi wengi.
Huko Argentina balaa wamefanikiwa kutokomeza uweusi kabisa.

Weupe wengi was Brazil Ni asili ya Ujerumani, ureno, italia Na ufaransa. Fikiria kutoka million 100 Hadi 55.

Ila kinachonifariji ni baadhi ya hao weusi mabantu wanatrace their origins kutoka Yoruba Nigeria Na wanafuata Mila za mababu zao.

Sasa Muambie Ronaldo de lima wee Ni mweusi anaweza kukutandika wakati babu zake Ni manigger

Pia Cuba hivyohivyo wanaitwa mulatto.
 
Brazil walikuwa zaidi ya million 100 lakini washenzi wazungu wakaleta policy ya whitening kuiondoa rangi nyeusi 1960s. Wamefanikiwa kabisa kwasababu machotara wengi Na weusi waliobaki hawahoani Sana wenyewe kwa wenyewe Ni nadra Na wanajidharau sana. Pele kazaa Na mweupe watoto wake machotara.

Huko Argentina balaa wamefanikiwa kutokomeza uweusi kabisa.

Weupe wengi was Brazil Ni asili ya Ujerumani, ureno, italia Na ufaransa. Fikiria kutoka million 100 Hadi 55.

Ila kinachonifariji ni baadhi ya hao weusi mabantu wanatrace their origins kutoka Yoruba Nigeria Na wanafuata Mila za mababu zao.

Sasa Muambie Ronaldo de lima wee Ni mweusi anaweza kukutandika wakati baby zake Ni manigger
Ni kweli Brazil inaongoza kuwa na watu weusi wasiojivunia uafrika na hawapendi kujitambulisha kama weusi. Pongezi nyingi wapewe weusi wa Marekani hawa pamoja na utumwa na ubaguz ila wamepambana kudai haki zao na kujivunia uafrika wao na wamejenga influence kubwa kupitia sekta ya burudani, michezo,n.k
 
tuseme pote huko south America. Ila nimewapenda Sana wa Suriname ndio
nchi pekee bara south America iliyotawaliwa Na uholanzi Na ambao pamoja Na Guyana wanaongea non romantic language south America (Spanish, French, Portuguese, Italian) wao wanongea Dutch.

Ni waafrika weusi Na wale unawaona uholanzi Akina kluivert Frank rijkaard seedorf wore asili Yao Ni huko.

Pia Guyana nchi iliyopakana Na Suriname mashariki Brazil kusini Na Venezuela magharibi in weusi wengi Sana. Official language Ni English.
 
Umetaja Suriname nimefurahi. Wale weusi wengi wanaongea Saramancan aina fulani ya Creole ama pidgin. Hawa walikuwa watumwa kutoka Ghana (Elmina). Walipofika Suriname walitorokea msituni wakaunda taifa lao huko. Wadachi waliogopa kuwafuata wamedumu mule hadi ustaarabu ulipokuja na utumwa kutokomezwa ndio wakaanza kuenea. Hata Ecuador nasikia Waafrika toka Congo wengi. Rafiki yangu alishangaa sana kusikia muzikii wa Congo vijijini na katika baadhi ya miji yenye Waafrika wengi Ecuador.
 
thanks bro nimejifunza new things from you
 
We Sheethole mbona haujasema hizi takwimu za mwaka gani na chanzo ni nini???? Trump akikuskia mzee unalo!!
 
Umetaja Suriname nimefurahi. Wale weusi wengi wanaongea Saramancan aina fulani ya Creole ama pidgin. Hawa walikuwa watumwa kutoka Ghana (Elmina). Walipofika Suriname walitorokea msituni wakaunda taifa lao huko. Wadachi waliogopa kuwafuata wamedumu mule hadi ustaarabu ulipokuja na utumwa kutokomezwa ndio wakaanza kuenea. Hata Ecuador nasikia Waafrika toka Congo wengi. Rafiki yangu alishangaa sana kusikia muzikii wa Congo vijijini na katika baadhi ya miji yenye Waafrika wengi Ecuador.
Interesting. Ila nchi ninayoikubali ni Haiti. Hawa jamaa walipinga utumwa na kupigana vita na wafaransa hadi wakawashinda na kuwa taifa huru la watu weusi.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli Brazil inaongoza kuwa na watu weusi wasiojivunia uafrika na hawapendi kujitambulisha kama weusi. Pongezi nyingi wapewe weusi wa Marekani hawa pamoja na utumwa na ubaguz ila wamepambana kudai haki zao na kujivunia uafrika wao na wamejenga influence kubwa kupitia sekta ya burudani, michezo,n.k
wana tuzo zao kabisa za music BLACK ENTERTAINMENT AWARDS (BET AWARDA) hawa black amerika wapo real
 
Back
Top Bottom