Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
TAKWIMU za nchi masikini dunian,Tanzania mwaka 2010 ilishika nafasi ya tatu kwa umaskini duniani, lakini Tanz
ania kwa sasa imepiga hatua hata na kwenye 25 Tanzania haimo katika nafasi ya nchi masikini duniani. Tanzania inasemwa kuwa
miongoni mwa nchi zinazokuwa kiuchumi kwa kasi ya juu Africa.