Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

RAC na DFP are different naona hamjapata lunch nyie ….
RAC = Reli
DFP = Wadau wa Maendeleo
PT = Police
MT= Magereza
JR = Jaji wa Rufaa
J = Jaji Mahakama Kuu
CS = Katibu Mkuu Kiongozi
IGP =Mkuu wa Polisi nk
 
Lakini mbona naona STJ nyingi zinatumika na polisi, na STK zinatumika na wengine (especially wizara)?

Pia Sijawahi kuona wala kusikia STB wala STC. Ila ST zipo....na STA sio STA, mara nyingi huwa ST halafu namba, halafu mishwo ndio A.

Naweza kuelewa kuwa ST = Serikali Tanzania ila hizo herufi bado. Naomba mawazo zaidi, kwa wanaofahamu zaidi.
kama hujawahi kuona STB hapo ndipo hata umri wako unaweza kujulikana.....kwa taarifa yako nimeona ST then zikaja STA,STB,STC,STD,STE,STF,STG,STH,STJ,STK,STL,
 
RAC na DFP are different naona hamjapata lunch nyie ….
RAC = Reli
DFP = Wadau wa Maendeleo
PT = Police
MT= Magereza
JR = Jaji wa Rufaa
J = Jaji Mahakama Kuu
CS = Katibu Mkuu Kiongozi
IGP =Mkuu wa Polisi nk
Mkuu Reli tu iwe na gari zake kweli? Kirefu chake ni nini?
 
kama hujawahi kuona STB hapo ndipo hata umri wako unaweza kujulikana.....kwa taarifa yako nimeona ST then zikaja STA,STB,STC,STD,STE,STF,STG,STH,STJ,STK,STL,

unatukana watu hapa kijanja,wakati wengine tukiona STH tunashangaa.‍♂️‍♂️
 
Back
Top Bottom