Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

King Octavian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
403
Reaction score
353
Wadau na wapenzi wa movie tuambiane na kusimuliana Movie tulizoziona, zitakazotoka miaka husika hapo juu.

Mimi naanza
1. 3 Days to kill(2014)
hii movie usiache kuiona ni kali balaa

2. 47 Ronin (2014)
Hii nayo ni balaa sana ni ya historia ya ushujaa wa ma samurai wa kijapani ila ni collabo ya mzungu na mjapani hapo star wa movie ni Kaenu Reevs, kwa mnaomfaham huyu jamaa kacheza movie nyingi kali kama Speed, The Matrix zote na hii ya juz juz Man of Tai chi(2013)

3. Robocop (2014)
ni nzuri kwa wapenda action movie

4. Ride Along (2014)
hii utacheka sana ndani yupo Ice cube pembeni yake kuna Kevin hart

5. I,frankenstein(2014)
hii nayo ni balaa sana humo ndani kuna kuchapana mkono hatari sana, ni movie nzuri ambayo hupaswi kuiacha kabisa star wa hii movie ndo yule aliigiza kama president of the united states kwenye Movie kali ya The Olympus has fallen

6.Lone survivor (2013)
Hii filamu ni tamu sana ina uhalisia wa hali ya juu uliofanywa na tecknolojia hali ya juu ya graphics, itafute kama hujaiona

tupieni movie nyingine hapo ili tuweze kuzitazama zile ambazo bado
 
Homefront. Jasonstatham. Wacha mzee wa transporter aonyeshe mapenzi na uchungu wa daughter wake, watu walichoka nae. watch it
 
Homefront..jasonstatham.....wacha mzee wa transporter aonyeshe mapenzi na uchungu wa daughter wake, watu walichoka nae. watch it

hii homefront niliiona sehemu embu ngoja niifuate umenipa mzuka
 
siunajua vitu vya jason statham? transpoter, the mechanics ndio mlemleee....Check na the amazing spiderman 2...

Vipi hii Amazing Spiderman 2 ni balaa kama ile ya mwanzo? maana ya kwanza imetulia sana na vipi actor ni yuleyule dogo?
 
Hukumu Ya Ndoa Yangu ya JB na Shamsa Ford.Halafu kwanini wabongo hampendi vya nyumbani?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom