Acha utumwa ndugu amka sasa sinto shangaa siku ukamponda mzazi wako wewe umeona ni Tanzania tu ndio isio kuwemo Japani,Canada,Afrika kusini,Venezuela,Ureno na nyingine nyingi hizo hushangai jifunze kusifia chako.
Mkuu ukipitia hizo list zote utagundua hizo top ten agencies ni zile zile , sema arrangement yake tu ndo imetofautiana......ila kimsingi list ni ile ile.
Very good Question.Aisee ktk ma genius na wewe ni mmoja wao. halafu naona humu ndani wapo wanaokandia TISS eti kwakulinganisha na intelligence Organisation kama CIA, MOSAD na nchi nyingine za ulimwengu wa 1. Nadhani tulinganishane na wenzetu wa 3rd World na tukilinganisha hivyo basi tutagundua kuwa tiss ni kati ya walioketi hightable