Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Kuvuja kwa nyongeza ya makubaliano katika Mkataba wa Kuchangia Uzalishaji (PSA) kati ya Statoil na Serikali ya Tanzania mwezi Julai 2014, kuliamsha mjadala kama kweli Tanzania ‘ilifaidika’ kwa kutoa kwake haki za uchimbaji katika eneo ambalo sasa linatarajiwa kuzalisha kiasi kikubwa cha gesi asilia.
Kwa habari zaidi kuhusu kampuni hii, soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (9) – Statoil | Fikra Pevu