Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Uzalishaji wa kwanza wa gesi asilia kwenye kisima cha Kiliwani North-1 (“KN-1”) ulifanyika Aprili 4, 2016 na uzalishaji kamili umepangwa kuanza wakati wowote ambapo futi za ujazo kati ya milioni 25 na 30 (sawa na mapipa 4,000 na 5,000) zitazalishwa kwa siku kwa kipindi cha siku 90 hadi 100.
Hisa za Bounty zitakuwa kati ya mapipa 380 na 475 ya nishati kwa siku.
Habari zaidi soma hapa => Zijue kampuni zilizowekeza katika mafuta na gesi Tanzania (18) – Bounty Oil and Gas | Fikra Pevu