Zijue faida za Blacberry Protect

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
Ni application ambayo inakupa access ya ku backup chochote pamoja na settings zako ktk cmu yako.
Pia hata kama imeibiwa au kuahribika mara tu unaponunua BB ingine unauwezo wa ku restore. Kila kitu na inarudi ktk hali ile ile kabla ya kuibiwa au kuharibika.

Hiyo huduma ni bure as long as una internet au u me suscribe BB service.

Sijawahi kutumia smart phones zingine so cjui zina vitu gani ambavyo they are so unique.
 
Nilisha wahi kuinstall yng ikafuta kila kitu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom