Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ambae kimsingi ni mchepuko wa mwanamke mwenzako uo...tehe tehe
Au ndo wewe M nini? Samahani nauliza tuu
Ambae kimsingi ni mchepuko wa mwanamke mwenzako uo...tehe tehe
Ole wake atakayechepukia kwenye njia kuu yangu......
Ukiachika, uta kam zis wei. Si unajua navokupenda?
Mchepuko lami
nyumba kubwa shkamoo...Mchepuko namba 1 huo lazima itakuwa mchepuko square...kila mtu ana wake...
Hawezi kuwa na tabia za namba 2 kwani ukimwaga ugali na yeye anamwaga mboga...
nyumba kubwa shkamoo...
nahis mm ni mchepuko namba 3