Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,910
- 6,706
Kujuaje kivip kwamba mtu amekufa kimsukule au hii elimu?Hivi huwa mnajuaje haya jamani???
Acha uchokozi tujikite kwenye mada.Haya sasa wenye fani zao wameamua kutufundisha..
Mkuu samahani lakini hivi unaujua hata ujasiliamali..??
Ni swali tu tusifikishane mbali..
We na bia yetu ni misukule aina ya tatuMimi mbona nashindwa kuamini mambo haya
Ndiyo maana ya elimu haina mwisho; si vyote utajifunza darasani NALIA NGWENA.Hivi huwa mnajuaje haya jamani???
Haya sasa wenye fani zao wameamua kutufundisha..😂
Mkuu samahani lakini hivi unaujua hata ujasiliamali..??
Ni swali tu tusifikishane mbali..🙏🙏😅
Na akili za kiccm huwezi kuelewa kamweMimi mbona nashindwa kuamini mambo haya
Yai halina mlango yule kifaranga anakaa wapi?Vipi kama chumba kilichowekwa maiti hakina mlango huyo msukule atakaa wapi?
Acha zako wewe unaonekana kigagu kabisaMimi mbona nashindwa kuamini mambo haya
Huyu atakuwa anaupika kabisa anatuchora hapa angalia coment zake utagundua kituNa akili za kiccm huwezi kuelewa kamwe