Ziito Kabwe ameongea ukweli mchungu


Sasa kama ni wapiga dili kinachowauma ni nini? Acheni wafunge na wasepe na nyie mkae na hao wachache ambao siyo wapiga dili, inashangaza kuona mnataka kukaa chini na wapiga dili muombe poo
 
Mlevi Zito. We ongeza konyagi tuuu na mke wa marehemu.

Hicho ndo unachokiweza.

Nchi we ishi bure. Jimbo lenyewe la kogoma mjini utalikia tu kwenye bomba 2020
 


Hapo ndio penye tatizo , Woga , lakini kila kitu kina muda wake

Syria ilikuwa kama Tanzania , miaka kama 10 myuma , mama watoto wangu alikuwa akisoma kitabu cha Muiraq aliyekimbilia Sweden na akarudi kwenda kuoa Iraq . Ili kumpatia visa mke wake ilibidi waende Syria , hayo waliyoyaona huko Syria ni kama hayo ya TZ na nikamwambia mke wagu hii nchi haifiki muda mrefu kutatokea vurugu.

Haikufika hata miaka miwili hali ikabadilika , vurugu zikaanza,

Mkuu kila kitu kina ustahamilivu wae , pressure ikiwazidi , itapasuka tu,

Hiyo pressure ya TZ bado inastamiliwa na itafika mahali hali haiwezi kustahamilika.

Syria ni mtoto ndiye aliyeanzisha vurugu , Sudan ni mwanadada , Tusubiri TZ
 

Sidhani kama Zitto anahitaji kupata imani kutoka kwa mtu kama wewe, ningekushauri ukae na imani yako tu
 
Na ndio hapo tujue kuwa rais huyu ni wa hovyo kuwahi kutokea....huwezi kuharibu vyote kwa pamoja

1. Uchumi
2. Utawala Bora
3. Haki za Binadamu
4. Demokrasia
5. Ustawi wa Jamii
6. Mshikamano

Huwezi kuharibu vyote hivyo kwa pamoja Kama una akili timamu
 

Sasa ukweli ni upi?
Ukisema CCM ni janga utaitwa msaliti alietumwa na waitwao Mabeberu (EU, UN &US)
Ukisema CCM ndo chama cha kumkomboa mtanzania mnyonge utaitwa msaliti wa taifa.

Msaliti halisi ni yupi????
 
Engine ya Chama Ni Kamati Kuu na Secretariat zake. Waliopo huko Kama si vikongwe waliojichokea, ni vijana waliojizeekea kabla ya umri. Akina Pole Pole. Hawa wanachojuwa Ni kutengeneza propaganda uchwara ili bora liende.
 
Sasa kama ni wapiga dili kinachowauma ni nini? Acheni wafunge na wasepe na nyie mkae na hao wachache ambao siyo wapiga dili, inashangaza kuona mnataka kukaa chini na wapiga dili muombe poo
Nani kaomba poo..
Kuna kampuni 17000 JPM kampa Majaliwa azishughulikie huko ndio kuomba poo.

Wanatimiza wajibu kutengeneza mazingira muafaka kwa wadau wa kodi ktk mazingira ya win win situation kwa ajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…