Zifahamu aina 7 za limbwata

Mimi wanawake wote waliojarbu kuniwekea hyo Juju a.k.a Limbwata walidunda.
Mmoja alikuja kuniambia kua Mimi Ni kiboko alitembea kwa waganga Zaid ya watatu wakimpa dawa zinadunda..!

Mwingine alipeleka Jina langu na picha kilichowapata yeye na Mganga hawatasahau.
Wakiweka Jina kwa Rada halisomi signal error ..!
Babu Yangu Fundi Sana aliniwekea Kinga nikiwa bado mtoto kichanga kabisa..!
 
Mpenzi wangu popote ulipo kama limbwata nipe nijiwekee mwenyewe kama dozi ni mara tatu kwa siku ntajiwekea tatizo mnazidisha hadi inakua keroo
 
Huyo babu bado yupo hai hadi leo na mimi nifanye taarifa???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uongo mtupu, na hao waganga labda wale wapiga hela sio halisia.
 
Kuna mtu nataka nimroge tena huyu namchanganyia quote ya kaburi la mtoto mchanga naenda kuifanyia kigoma, ya kisomo naenda kilwa na nyingine nitnafanyia tanga yaani nachanganya mizim na majini mshenzi yule aonje maumivu maana anajifanya hasikii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa jiandae[emoji23][emoji23][emoji23] nina babu yangu ukambani huko. Nitakunyoosha.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mie limbwata langu Mahaba tuu...

Mtu fudenge analegezewa macho...
Sauti inalegezwa na kutoka kwa vituo...
Huku anadekezwa kwa Mahaba Matata.....

Aahahahahhahaaaa akijastuka amaliza wiki nzima kwangu [emoji2957].

K’ Platinum.
Naam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…