Ziara za Lowassa na Polepole Ikulu zadhihirisha umakini wa Rais Magufuli

Bila kujali kama Lissu amevaa hirizi kweli ama la. Huku Africa watu wanaenda kwenye hizo dini zilizoletwa kwa meli kama fashion tu, ushirikina huku ndio mpango mzima. Kama huamini angalia waliokwenda kwenye kikombe cha babu ndio utajua mwafrika hata asome vipi, ushirikina ndio mpango mzima. Nilishuhudia kwa babu wa Loliondo kuanzia viongozi wa dini, maprofessor na Doctors wote wakienda kwenye ile tiba ambayo kwangu ilikuwa ni ushirikina persee. Japo wewe ni mmbea lakini naomba iishie humu humu, nakuuma sikio wala Polepole usimuonyeshe, hata Magu alienda. Hii ni siri yako maana sina hela za fine kwa ajili ya uchochezi.
Lisu hata ubelgiji ana hirizi mwangalie alifanya mazoezi picha zake
 
Lisu hata ubelgiji ana hirizi mwangalie alifanya mazoezi picha zake

Mkuu nitendee haki, hapo kwenye hiyo picha nashindwa kudhitisha kama ni hirizi au kitu kingine kilicho kwenye hiyo nguo. Sijawahi kumuona akiwa amevaa hapa nchini, hivyo nina akili timamu napenda kuongelea ninachoweza kukidhibitisha kwa macho kuliko kunipofusha kwa ukweli wa propaganda. Kimsingi tabia za muafrika nimeziongelea hapo juu, sintoona ajabu kumuona Lissu kavaa hirizi hata kama ni kweli. Ukitaka kujua africa ni shida, unamkuta mchungaji anatoa mishipa ya shingo madhabahuni kama anafanyiwa wiring kukemea ushirikina, lakini ukimvua nguo unamkuta na hirizi!! Na ukimbana sana inakuwaje anavaa hirizi wakati anahuribi tofauti anasema usiangalie matendo yake fuata maneno yake!!
 
Heri Lowasa kaenda ikulu kaongea Enzi za Kikwete akina mbowe na Lisu wakienda ikulu walikuwa hawana cha kuongea zaidi ya kufuata kunywa chai na kula mapochopocho ona kwenye picha wanavyotia aibu hadi Kikwete anashanga ee we LISU MBONA UNA HARAKA HUJANYWA KWENU?

CDM5.jpg
Acha utoto na comments za FB hapa .Peleka ujinga huu Instagram
 
Tumeshuhudia ndani ya wiki moja vinara wa siasa yaani mzee Lowassa kwa upande wa upinzani na ndugu Polepole wa chama tawala wakimtembelea Rais Magufuli pale Ikulu. Kwa wanaokumbuka siasa za uchaguzi wa mwaka 2015 hawatasahau jinsi Mwenezi alivyojiapiza kuhakikisha Lowassa hawi Rais iwe kupitia CCM au upinzani. Leo mahasimu hawa wanamtembelea na wote wamefarijika kwa mapokezi waliyoyapata japokuwa kikao cha mkuu na Lowassa kilitawaliwa zaidi na tabasamu,vicheko, furaha na bashasha kile cha Polepole kilikuwa cha maelekezo zaidi na hasa kuhusu " katazo" la kushawishishawishi ongezeko la ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani. Kwa kifupi, Rais Magufuli amenifurahisha jinsi ambavyo hakugusia mambo ya Lowassa alipokutana na Polepole na hivyo kufanya ya Lowassa kubaki Ikulu na yale ya mwenezi kubakia CCM. Nawatakia ibada na Jumapili njema!
Umakini upi mkuu, toa ufafanuzi. Hivi umakini wa mtu hupimwa kwenye kutembelewa na wageni na kuwa msiri kwa yale yaliyozungumzwa?
 
Tumeshuhudia ndani ya wiki moja vinara wa siasa yaani mzee Lowassa kwa upande wa upinzani na ndugu Polepole wa chama tawala wakimtembelea Rais Magufuli pale Ikulu. Kwa wanaokumbuka siasa za uchaguzi wa mwaka 2015 hawatasahau jinsi Mwenezi alivyojiapiza kuhakikisha Lowassa hawi Rais iwe kupitia CCM au upinzani. Leo mahasimu hawa wanamtembelea na wote wamefarijika kwa mapokezi waliyoyapata japokuwa kikao cha mkuu na Lowassa kilitawaliwa zaidi na tabasamu,vicheko, furaha na bashasha kile cha Polepole kilikuwa cha maelekezo zaidi na hasa kuhusu " katazo" la kushawishishawishi ongezeko la ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani. Kwa kifupi, Rais Magufuli amenifurahisha jinsi ambavyo hakugusia mambo ya Lowassa alipokutana na Polepole na hivyo kufanya ya Lowassa kubaki Ikulu na yale ya mwenezi kubakia CCM. Nawatakia ibada na Jumapili njema!

Hahahaa mkuu umemaliza!!.....Mwangalie Mbowe anaona kama Tundu Lissu anamchelewesha!
 
Back
Top Bottom