Ziara ya Zitto nchini Malaysia


Dont click/read it SIMPLE
 

ni yepi hayo? yaweke hapa tuya discuss maana hatuna cha kufanya ndiyo maana tunadiscuss watu tehetehe hahahahahaha
 
1. How Dr. M knew that the boy is over ambitious.... My take is the boy behaved childish
2. Until then Zitto didn't know that he has to only serve his country! Get me a break plz
 
Kila kitu kina wakati wake, ssa ni wakati wa kuwasa moto wa kudai mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi, si vibaya kama kongozi kuwa na ziara zako kwa manufa ya wananchi waliokuchagua. Lakini mambo hayo yakionekana kuwa na direct link ya kuzima vuguvugu la kudai katiba mpaya na tume huru ya uchaguzi tulio neutral tutaanza kutia mashaka pia.

Kutokana na lawama nyingi mhe Zitto Kabwe anazoelekezewa ningefurahi sana kupata msimamo wake mwenyewe kuhusu vuguvugu la kudai mabadiliko ya katiba mpya anasimama upande gani? Inawezekana wakatofautiana kimsimamo na viongozi wake kuhsu suala la kususia hotuba ya rais lakini hilo limshafanyika na limepita. Life must always go on.

Mhe Zitto Kabwe anaiambia nini CCM na Jakaya Kikwete kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi? Kauli hii ya mhe Zitto Kabwe itatupatia wengi wetu mwanga. Aidha na wapambe wake mnasemaje kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
 
"Put your country at heart, don't destroy your country for political expediency or for fulfilling your ambition. Serve your country"

Ni kweli Zitto ataweza kuufuata huo ushauri?
 
acha mambo yako ya ajabu wewe, amejipendekeza nn sasa hapo ? Kama huna point nyamaza. Zitto ni mtu makini kuliko fikra chache ulizonazo.

tunataka msimamo wako binafsi kuhusu vuguvugu la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, we binafsi unaiambia nini ccm na jk?
 

it will die a natural death once they see that this time around we are determined to get a new constitution and a more transparent and participatory election commision. They atre just using zitto and some puppets to undermine our endavour.
 
Si lolote huyo Zitto wenu.....ni loose cannon tu
mkuu naanza kuamini hili jambo as days go by

his egocentric mind may eat up half of tz population... soo hungry for fame

oooppss, i didnt say that
 
Zitto ni kijana mwenye kipaji lakini ni kijana ambaye hajajua ni nini hasa anataka kwenye maisha yake. Hajajua ni kitugani kitamfanya awe happy kwenye maisha yake. Hivyo Zitto tofauti na viongozi wengine hajajua anataka nini. Kuna wakati alitaka kuacha siasa na kwenda kuchukua PHD akabadilisha mawazo, kunawakati alitaka kuwa Prof wa uchumi na mikataba akabadilisha mawazo. Mimi naona tumpe muda zitto akuwe kudogo lakini inabidi atulie ili ajue nini hasa anataka kufanya
 
Na ukirudi utuambie umepata nini huko ama umejifunza nini kwa ajili ya chama chako na wananchi wa jimboni kwako.
 
Zitto ulishaharibu na hakuna anayekuamini tena. wewe fanya utalii baadae uje na story za mvua ya kutengeneza kama ziiiiileee za Lowassa. huaminiki.
 
Mbona Zitto akiyakoroga mambo anasafiri kwenda nje? Last time alienda Ujerumani baada ya kutolewa jasho kwenye kugombea umwenyekiti.

mheshimiwa katika hili naona unapotoka kila safari ina sababu zake na ziko wazi hivyo kumanipulate in order to fit your malice is not correct at all!
 
ni yepi hayo? yaweke hapa tuya discuss maana hatuna cha kufanya ndiyo maana tunadiscuss watu tehetehe hahahahahaha

Muhonga na Zitto kuna jambo..... bla bla blaaa.

Give credits where are due. Zitto ni mwanasiasa mkweli, muwazi, husimamia jambo analoliamini, hafanyi jambo ili mumsifie na haogopi kuchukiwa.
 
1. How Dr. M knew that the boy is over ambitious.... My take is the boy behaved childish
2. Until then Zitto didn't know that he has to only serve his country! Get me a break plz




Tehe tehe tehe tehe tehe tehe, du kama kweli vile...very interesting rhetorical questions...we have to understand Zitto, analytically if not critically...in so doing bila upendeleo, jikumbusheni matamko yake yote, misimamo yake yote, mitizamo, maneno, matendo, tehe tehe tehe, naambiwa he still commands some followers behind him, hasa vijana, is it true! Poleni, kuna issues ambazo ziko involved katika 'jina' lake so kiasi fulani si mbaya saaaaaaaaaana, kumjadili, maana ndiyo kitu anachohitaji sana, watu wanafikiria nini juu yake, tehe tehe tehe...
 
Zitto yaani katika kipindi hiki muhimu cha kuleta mabadiliko Tz yeye ameona autuhalalishie ufisadi wa IPTL!!
Rekodi zinaonyesha kwamba huyu M.M ndiye ali-push ile deal ya mkataba wa umeme wa IPTL--kwa faida yake--ambayo inatutesa hadi leo, na akajigamba kwamba ndiyo mradi mkubwa kabisa wenye faida kwa watu wa Malaysia.
Wakati ule alikuwa Prime minister wa nchi hiyo.
Kwa sasa, dukuduku langu ni kwamba Zitto anataka kutupeleka wapi??!
 
Sijui nini kitatokea siku akijiulikana kwa watu wengi kama anavyojulikana tayari kwa watu wachache makini, wanaoumiza vichwa na kumjua kwa undani kutokana na maneno yake na vitendo vyake tu, kabla hata hawajaambiwa mengi zaidi...tehe tehe tehe...hata hiyo ziara yake ya Malaysia ukifikiria vzr utaweza kumjua kwa hatua kadhaa pia...tehe tehe tehe
 
kweli uyu jamaa tumpotezee aende zake. mana heri ubaki na askari 20 waaminifu kuliko mamluki kama zitto 30,000.
 
Every step this boy is making makes me ask myself a lot of questions, only because I no longer trust him.(sikatazwi kuwaza kivyanguvyangu) Usikute hii ziara kanatengenezewa na watu wake ili kapate umaarufu na at the same time wakutane juu kwa juu na ccm ili kupanga strategies za kuiletea migogoro Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…