Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,905
- 33,099
Mbekianeno ndio lugha gani?Kwa Mbekianeno hayo machafu "sisi" wewe haupo!. Je wewe umefanyia nini Tanzania?
Mimi sipigi kelele wala kujisifia kununua bombadia 4 Tena kwa kuhangaika kweli mwaka 2017 miaka 56 baada ya kujitawala. Ninaona aibu kujisifia hilo japo ni mTanzania kwa kuzaliwa na kiasili kabisa.