Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,288
- 3,278
Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye.
Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi ccm ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya ccm ikulu.
Kama tunahubiri umoja wa kitaifa huu ushamba wa kuchanganya shughuli za Rais wa wote kuwa kama Rais wa ccm, hili siyo sawa mama najuwa unajuwa vyema.
Kama umeweza kuzikataa salamu za kidini kwenye jukwaa lako na sasa unasalimia kwa jina la JMT basi kataa na uccm kwenye mambo ya kitaifa unatukera tunaopenda haki.
uliandika nini mtoto wa mama?Ccm wote wanafanana
Niliandika kuhusu huyu mama humu sometime in 2016 kuwa ni walewale
Leo mnaona matendo yake.
CCM ni chama dola....Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye.
Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM ikulu.
Kama tunahubiri umoja wa kitaifa huu ushamba wa kuchanganya shughuli za Rais wa wote kuwa kama Rais wa CCM, hili siyo sawa mama najuwa unajuwa vyema.
Kama umeweza kuzikataa salamu za kidini kwenye jukwaa lako na sasa unasalimia kwa jina la JMT basi kataa na uccm kwenye mambo ya kitaifa unatukera tunaopenda haki.
Kaitafute commentuliandika nini mtoto wa mama?
Kwahiyo kuanzia sasa kwenye ziara za kiserikali za Rais kila mtu avae sare za chama chake? Patatosha?CCM ni chama dola....
Na CHADEMA ichukue nchi.....
KAMPENI ZIMEANZA TUME YA UCHAGUZI INGETANGAZA TU Ila FOMU ZITOLEWE 2025Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye.
Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM ikulu.
Kama tunahubiri umoja wa kitaifa huu ushamba wa kuchanganya shughuli za Rais wa wote kuwa kama Rais wa CCM, hili siyo sawa mama najuwa unajuwa vyema.
Kama umeweza kuzikataa salamu za kidini kwenye jukwaa lako na sasa unasalimia kwa jina la JMT basi kataa na uccm kwenye mambo ya kitaifa unatukera tunaopenda haki.
Makaburu SA walisemaga hivyo hivyo.CCM ni chama dola....
Na CHADEMA ichukue nchi.....
Endelea kuufukuza upepoMakaburu SA walisemaga hivyo hivyo.
Sio ajabu, siku Mandela alipofungwa maisha, Makaburu SA walijiamini hivyohivyo.Endelea kuufukuza upepo