Ziara ya Rais Samia mkoani Arusha ni ya Kichama au Kiserikali?

Unavoidable Servant

JF-Expert Member
Oct 13, 2021
1,288
3,261
Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye.

Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM ikulu.

Kama tunahubiri umoja wa kitaifa huu ushamba wa kuchanganya shughuli za Rais wa wote kuwa kama Rais wa CCM, hili siyo sawa mama najuwa unajuwa vyema.

Kama umeweza kuzikataa salamu za kidini kwenye jukwaa lako na sasa unasalimia kwa jina la JMT basi kataa na uccm kwenye mambo ya kitaifa unatukera tunaopenda haki.
 
Ccm wote wanafanana

Niliandika kuhusu huyu mama humu sometime in 2016 kuwa ni walewale

Leo mnaona matendo yake.
 
Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye.

Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi ccm ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya ccm ikulu.

Kama tunahubiri umoja wa kitaifa huu ushamba wa kuchanganya shughuli za Rais wa wote kuwa kama Rais wa ccm, hili siyo sawa mama najuwa unajuwa vyema.

Kama umeweza kuzikataa salamu za kidini kwenye jukwaa lako na sasa unasalimia kwa jina la JMT basi kataa na uccm kwenye mambo ya kitaifa unatukera tunaopenda haki.

kwa katiba ya nchi yetu ni ngumu kutenganisha safari za kiserikali na za kichama kwani rais ni mwenyekiti wa chama pia ni kiongozi wa serikali kwa mantiki hiyo ni ngumu sana kujua rais yuko safari ya kichama au ya kiserikali labda katika iliyoko hivi sasa ibadilike ndo maana tunapigania hayo mabadiliko ili kuondoa huo mkanganyiko.
 
Kwanza nadeclare interest, namuunga mkono mama na nina imani naye.

Ila nikifuatilia hii ziara yake ya Arusha napata shida kidogo kama wenzetu wenye madaraka wanaelewa vizuri tofauti ya shughuli za kichama na za kiserikali? Hakuna ubishi CCM ndio inaunda serikali lakini hakuna ofisi ya CCM ikulu.

Kama tunahubiri umoja wa kitaifa huu ushamba wa kuchanganya shughuli za Rais wa wote kuwa kama Rais wa CCM, hili siyo sawa mama najuwa unajuwa vyema.

Kama umeweza kuzikataa salamu za kidini kwenye jukwaa lako na sasa unasalimia kwa jina la JMT basi kataa na uccm kwenye mambo ya kitaifa unatukera tunaopenda haki.
CCM ni chama dola....

Na CHADEMA ichukue nchi.....
 
KAMPENI ZIMEANZA TUME YA UCHAGUZI INGETANGAZA TU Ila FOMU ZITOLEWE 2025
 
Katiba ya 1977 imeshindwa kuainisha..kwa hiyo CCM inafanya kazi za siasa kupitia viongozi wake walioko serikalini huku vyama vingine wakipigwa biti hata kukusanyika ndani ya chumba, hadi kibali.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom