Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Jan 28, 2012 #41 Kongosho said: huwa ni kuanzia mida ya saa nane, ni mapambio na kumsifu Mungu. Kuanzia saa 10 anaanza kufundisha. Afadhali amekuja, atusaidie ku-renew hizi roho zilizogoma kutakata. Asante sana kwa taarifa. Ubarikiwe. Click to expand... ndio maana nakakuwilaga nikikuona raha... naomba ukihudhuria weka thread hapa ili wa mbali pia tupokee SEBHA AKUSUNGULILE MBANGO JAKWE
Kongosho said: huwa ni kuanzia mida ya saa nane, ni mapambio na kumsifu Mungu. Kuanzia saa 10 anaanza kufundisha. Afadhali amekuja, atusaidie ku-renew hizi roho zilizogoma kutakata. Asante sana kwa taarifa. Ubarikiwe. Click to expand... ndio maana nakakuwilaga nikikuona raha... naomba ukihudhuria weka thread hapa ili wa mbali pia tupokee SEBHA AKUSUNGULILE MBANGO JAKWE
trachomatis JF-Expert Member Joined Jun 7, 2011 Posts 3,758 Reaction score 746 Jan 28, 2012 #42 Rosweeter thanks for the useful post.. As for Kongosho... Huyu ni kiboko..na wa aina yake..