commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,622
- 872
huo uwanja wa karibu na kwa hood ni mdogo sanaaa, kuna ule uwanja wa kiwanja cha ndege shule ya msingi, pale fire vipi ccm wameukatilia ule uwanja huo ndio huwa unatumika mara nyingi na chadema??? aisee hapo near hood kuna kauwanja kadogooo sanaaa mkuu, heri hata wangeupeleka kikundi shule ya msingi basi, .... huo uwanja mtasababisha vurugu tu na kuziba njia ya masika kutoka msamvu wakuuu
Cc; Tumaini Makene
Cc; Tumaini Makene