Ziara ya mgombea Urais wa CHADEMA mkoa wa Morogoro

back town

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
471
Reaction score
365
Nimepata habari kutoka sehemu mbalimbali mji wote utasimama kwa kipenzi wetu ELD iyo kesho.Karibu robo tatu ya wafanya kazi,wajasiriamali,wafanyabiashara,bodaboda,watu mashineni na wengineo.

Updates zote tuwe pamoja

[FONT=Verdana, Arial, Tahoma, Calibri, Geneva, sans-serif]
Hodi hodi Mji Kasoro Bahari!

Mnamo siku ya Jumatano tarehe 09/09/2015, mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kupitia UKAWA, Mh Laigwanan Dr Edward Ngoyai Lowassa (Edo), atahutubia mkutano mkubwa wa kampeni utakaofanyika mjini Morogoro kuanzia saa 7 adhuhuri katika viwanja vya Shujaa (karibu na ofisi za Hood). Wananchi wote wa Morogoro na mikoa jirani mnaombwa kuhudhuria bila kukosa. Njooni mkasikilize sera makini na zinazotekelezeka kutoka kwa mkombozi wetu, baba yetu, Mh Edo Lowassa.

Naomba makamanda wa Morogoro mtuletee picha na updates za kumwaga ili nasi tulio mbali tuweze kujumuika pamoja katika safari hii ya matumaini. Saa ya ukombozi ni sasa.

:yield:
[/FONT]
 
Wakuu Siku ya tarehe 9/9/2015 Lowassa the One Man Army atakuwa na mkutano mkubwa wa kampeni. Wana morogoro dhoruba Kali inahamia kwenu ila hakuna tamasha la muziki wala injili... Fanya shopping ya vyakula mapema kwa sababu maduka yatafungwa mji mzima.
 
Dah!, huo uwanja mbona ni mdogo?. nahisi watu wataziba njia kuu ya kuingia stand ya Hice mjini. Kwa nini UKAWA wasiombe uwanja wa wananchi wa Jamhuri stadium?. Au mnaogopa kusababisha mauaji kama ilivyotokea kwa chama tawala?
 
Hodi hodi Mji Kasoro Bahari!

Mnamo siku ya Jumatano tarehe 09/09/2015, mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kupitia UKAWA, Mh Laigwanan Dr Edward Ngoyai Lowassa (Edo), atahutubia mkutano mkubwa wa kampeni utakaofanyika mjini Morogoro kuanzia saa 7 adhuhuri katika viwanja vya Shujaa (karibu na ofisi za Hood). Wananchi wote wa Morogoro na mikoa jirani mnaombwa kuhudhuria bila kukosa. Njooni mkasikilize sera makini na zinazotekelezeka kutoka kwa mkombozi wetu, baba yetu, Mh Edo Lowassa.

Naomba makamanda wa Morogoro mtuletee picha na updates za kumwaga ili nasi tulio mbali tuweze kujumuika pamoja katika safari hii ya matumaini. Saa ya ukombozi ni sasa.

:yield:

Amina, Mungu akutangulie muheshimiwa Edward Ngoyayi Lowassa. Tunakupenda, tunakuombea sana.
 
Wakuu Siku ya tarehe 9/9/2015 Lowassa the One Man Army atakuwa na mkutano mkubwa wa kampeni. Wana morogoro dhoruba Kali inahamia kwenu ila hakuna tamasha la muziki wala injili... Fanya shopping ya vyakula mapema kwa sababu maduka yatafungwa mji mzima.

Mkuu ulikuwa wapi cku zote? Uko vzr kwa update sana
 
namsubiri atie timu mvomero na kampeni meneja wenu sumaye ambaye leo anazungumzia kampeni za kistaarabu akisahau alipokuwa ccm aliwatisha wafanyabiashara kuwa ili biashara zao zifanikiwe lazima wajiunge ccm kauli iliyosababisha ndesamburo afungiwe bungeni
 
AMEBADILIKA. Na hilo ndilo lengo la UKAWA kuona kila mtz anajiunga na timu ya mabadiliko na kushiriki kumbadilisha mwingine. Kwa hivyo unaposikia 'mabadiliko', hatutanii. Tumeishawabadilisha vigogo wawili waliokuwa upande wa hapa kazi tu ya kufisidi na sasa wako upande wa mabadiliko. Unakaribishwa sana.
 
Mfupa uliomshinda jana tarehe 7/9 Maguful baada ya kutotokea dumila kwa mujibu wa ratiba yake kwan wananchi walishatangaziwa SASA TAREHE 9/9 Rais lowasa anakuja Dumila ni kata ambayo katika uchaguz serikal za mitaa ccm iliangukia pua kwani ukawa walikomba wenyeviti vitongoji 99% na ccm waliambulia kiti kimoja tu Sasa kwa taarifa hiz ndizo zilizomfanya maguful asije dumila na kuwaambia wananch wamfate sehemu nyingine ili yasijemtokea kama ya Mbeya au Morogoro baadaya fiesta Kwani wananchi wa hapa waanataka mabadiliko WANASEMA BORA JIWE KULIKO CCM SASA MAKAMANDA KAENI TAYAR KWA UPDATE ZA MAPICHA HAPO KESHO MABADILIKO LOWASAAAA
 
wamwache atengeneze tanzania mpya, yenye watu weledi wa kuondoa umaskini, kwani ccm inatembelea mikakati na ubunifu wa chadema, na ahahadi feki zisizotekelezeka miaka 50.
 
Asee ule uwanja mbona mdogo sana. Watu si hawatatosha kabisa pale. CCM wamefanya fitina viwanja vingine nini?
 
Back
Top Bottom