Ziara ya Mfalme wa Morocco Mohamed wa VI nchini 19-23 October, 2016

ANAKUJA KUFUATA NINI TENA?? MAANA SIJAWAHI KUSIKIA MFALME AKITEMBELEA NCHI MASIKINI
 
Inabidi tupige marufuku na hizi safari za wageni kutoka nje maana na zenyewe ni gharama kubwa wakati tunabana matumizi:rolleyes:
 
Naona nyumbu mnaumia kweli wakuu wa nchi wanavyopishana Tanzania..
Mkuu samahani, mimi sipo kwenye upande wowote wa kisiasa najaribu kuwaza tu kwa mfano mdogo, kama umeamua kubana matumizi nyumbani kwa kuzuia mitoko "outing" halafu ukaanza kupata ugeni kila leo tena wakifalme unaweza ukajikuta unaiingia gharama:)

Ngoja tuone mfalme atatuletea nini ila kama safari haina tija basi bora abaki huko huko, though Dr. Magufuli's regime ipo very strategic kwenye hizi international relations let us wait and see...nilitoa tu kama angalIzo kwa upande mwingine wa shillingi:rolleyes:
 
Sawasawa mkuu lakini hata siku moja mgeni hafukuzwi lakini pia mgeni mzuri ni yule anayekuja kwa kutoa taarifa
 
Anakuja kutafuta gesi ya Helium. Hata sisi tunatafutwa na nchi tajiri. Ukiwa maskini huna rafiki. Ila ukitajirika kila mmoja anataka awe rafiki. Hatuko vibaya!
 
Kaona Ulaya hawamwelewi kaamua kugeukia Africa. Baada ya jeuri ya miaka mingi kaamua kutafuta kampani ya masikini, na kwa kuanzia anatafuta mlango wa kuingilia AU.
 
Back
Top Bottom