Ziara ya Lowassa Tabora yaashiria kumtimulia vumbi Samwel Sitta

Ziara ya Lowassa Tabora yaashiria kumtimulia vumbi Samwel Sitta

presha itakuanza ww na familia yako iwapeleke kaburuni,hv mtu mzm unafikiaje hatua ya kumwombea mtu kifo,sasa kw taarifa yako utatangulia ww na kizazi chenu chenye laaana

Nikigombana na demu wangu,,,comment kana hizi huniliwaza,,,hata wakati mwingine gubu la baba mwenye nyumba hunitoka makinini
 
mleta uzi vip?ulisema ikifka magharib utatuwekea picha na video,au mpaka ifike mashariki,au ile techno uliyosema unatumia imegoma?
MAJOGOOO,,,,NET ZENYEWE ZA KICHINA MKUU. ilibidi ujiandae kisaikoljia kwa kupokea video na picha kwa kuchekewa.

[video=youtube_share;6pQjk7EXZ54]http://youtu.be/6pQjk7EXZ54[/video]
 
MAJOGOOO,,,,NET ZENYEWE ZA KICHINA MKUU. ilibidi ujiandae kisaikoljia kwa kupokea video na picha kwa kuchekewa.

[video=youtube_share;6pQjk7EXZ54]http://youtu.be/6pQjk7EXZ54[/video]

mkuu hyo video uloficha ina nini?au ni ya X.acha roho ya ivo!Mbona namuona Kapuya tu,Sita hana habari?
 
tuna miaka isiyopungua miwili tuone political drama ya hatari
 
mkuu hyo video uloficha ina nini?au ni ya X.acha roho ya ivo!Mbona namuona Kapuya tu,Sita hana habari?

hiyo video naihifadhi kwenye library yangu,,,,2015 nitaiachia panapo uhai inshallah!!!!!! Ha ha ha ha wewe unawaza mikasiiii tuuuu.
 
'' pia ataenda kuweka jiwe la msingi kwenye msikiti mkuu wa ijumaa''

Umma wa Waislam, mmekosa Maulamaa na Ma-sheikh wa kufanya hii shughuli?! Kweli hela ni sabuni.......
 
Back
Top Bottom