Ziara ya Lowassa Tabora yaashiria kumtimulia vumbi Samwel Sitta

Niko Tabora Mjini, leo na kesho mh. Lowassa atakuwepo katika mji huu wa wanyamwezi.

Pamoja na mambo mengine atakuwa na mazungumzo na viongozi wa CCM mkoa huu, atazungumza na wanafunzi wa vyuo, atazungumza na vijana wa bodaboda, pia ataenda kuweka jiwe la msingi kwenye msikiti mkuu wa ijumaa.

Kesho atakuwa na machifu wa unyanyembe pande za maeneo ya kihistoria Livingstone, inasemekana machifu wamemtaka awe mlezi wao.

Kuna mapokezi makubwa yameandaliwa ambayo yanasemekana yatafunika hata yale aliyofanyiwa Samweli 6 alipokuja mkoa huu muda si mrefu. Hii ni kiasshiria tosha cha kutimuliwa vumbi Samweli kwa mbio za kutafuta ridhaa za wanaCCM za kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi ujao.

Baada ya magharibi nitawawekea picha na video za matukio yatayojiri huku, wajua natumia tecno, na picha napiga kwa kutumia camera ya kujitegemea.

Pamoja hayo hii ofisi ya wilaya haiko mbali na tawi la CHADEMA lilozinduliwa na Zitto, CHADEMA nayo imeshaanza kupata nguvu tafauti na mwaka juzi nilivyoiona.

Mwisho: Siasa si mchezo mchafu, bali ni mchezo wa kujitoa mhanga, binafsi nina shaka na ujuzi wa mtu yule anayesema siasa ni mchezo mchafu.

Njano5.
0784845394

Huu mpango wa kusaidia ujenzi wa msikiti ni wa muda mrefu,lakini pia mtu wake wa karibu kwa kanda ya ziwa aliwahi nieleza nia ya jamaa ,kuwagawia magari masheikh wa wilaya.
 
Niko Tabora Mjini, leo na kesho mh. Lowassa atakuwepo katika mji huu wa wanyamwezi.

Pamoja na mambo mengine atakuwa na mazungumzo na viongozi wa CCM mkoa huu, atazungumza na wanafunzi wa vyuo, atazungumza na vijana wa bodaboda, pia ataenda kuweka jiwe la msingi kwenye msikiti mkuu wa ijumaa.

Kesho atakuwa na machifu wa unyanyembe pande za maeneo ya kihistoria Livingstone, inasemekana machifu wamemtaka awe mlezi wao.

Kuna mapokezi makubwa yameandaliwa ambayo yanasemekana yatafunika hata yale aliyofanyiwa Samweli 6 alipokuja mkoa huu muda si mrefu. Hii ni kiasshiria tosha cha kutimuliwa vumbi Samweli kwa mbio za kutafuta ridhaa za wanaCCM za kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi ujao.

Baada ya magharibi nitawawekea picha na video za matukio yatayojiri huku, wajua natumia tecno, na picha napiga kwa kutumia camera ya kujitegemea.

Pamoja hayo hii ofisi ya wilaya haiko mbali na tawi la CHADEMA lilozinduliwa na Zitto, CHADEMA nayo imeshaanza kupata nguvu tafauti na mwaka juzi nilivyoiona.

Mwisho: Siasa si mchezo mchafu, bali ni mchezo wa kujitoa mhanga, binafsi nina shaka na ujuzi wa mtu yule anayesema siasa ni mchezo mchafu.

Njano5.
0784845394

mleta uzi vip?ulisema ikifka magharib utatuwekea picha na video,au mpaka ifike mashariki,au ile techno uliyosema unatumia imegoma?
 
maswali gn hayo unauliza mkuu,unaona mkia wa mbwa unauliza jicho liko wp?

Ahaa yero subhai! Takwenya! Mzee wa siasa za Monduli nilitegemea hapa ntakuona tu, mwenzio nenjamburkeni sijamuona toka alete list ya wanaotaka kumrithi mzee wa ngarashi jmbo akiwemo kadogoo.
 
mleta uzi vip?ulisema ikifka magharib utatuwekea picha na video,au mpaka ifike mashariki,au ile techno uliyosema unatumia imegoma?

Kaka ndio kwanza nimefika geto,,,nasubiria buku zangu 7 za lumumba kwaajili ya post ya mchana haijangia,,,ikingia hiyo buku saba nitaleta pich ili zingie 7 zingine,,,pesa mbele kama taiii.,,,,,ha ha ha.
 
tehe tehe tehe nimeipenda. Nasikia buku 7 zimesitishwa kwa ajili ya kulipa fidia ya kesi ya Tundu Lissu.
 
pamoja na mambo mengine atakuwa na mazungumzo na viongozi wa ccm mkoa huu, atazungumza na wanafunzi wa vyuo, atazungumza na vijana wa bodaboda, pia ataenda kuweka jiwe la msingi kwenye msikiti mkuu wa ijumaa.

na hao viongozi wa ccm watampokea akiwa kiongozi wao kwa wadhifa upi???
 
Ahaa yero subhai! Takwenya! Mzee wa siasa za Monduli nilitegemea hapa ntakuona tu, mwenzio nenjamburkeni sijamuona toka alete list ya wanaotaka kumrithi mzee wa ngarashi jmbo akiwemo kadogoo.

naona unawshwa na hauna kucha,ngja nimtafute pasco aje akukune,manake naona una utani na lowassa
 
Waathirika wa Lowassa Kiboko yenu Dr.Slaa, ha ha ha ha,,,,naipenda sana CHADEMA.
 
Lowassa ni Fursa nyingine kwa Watanzania wanafanana sana na Jk kwa kutokuwa na Vinyongo, Akina Mwakyembe na Mwandosya kwa Vitimbi walivyomfanyia Jk kwa kushirikiana na Sumaye pale 2005 kwa tuliokuwepo Dom kuanzia Mei mosi mpaka Tarehe 4 hatuwez kusahau ila leo ni Mawazir japo wenyewe hata hawakuwah kuota, Tofaut kubwa ya Jk na Lowassa itakuwa ni kwenye kuwashughulikia hawa wafanya fujo Bungeni maana hivi sasa wangekuwa wananyea kwenye Dustbin!
 
na hao viongozi wa ccm watampokea akiwa kiongozi wao kwa wadhifa upi???

Hivi Lowassa sio kiongoz wa CCM,,,si nilisikia alishinda wadhifa fulanii hiviii,,,mimi sio mwanaCCM wenyewe wanajua,,,piga namba hizi za Lumumba huenda Nape atakuwa na majibu ya maswali yako. 0713 000 111
 
Lowassa ni Fursa nyingine kwa Watanzania wanafanana sana na Jk kwa kutokuwa na Vinyongo, Akina Mwakyembe na Mwandosya kwa Vitimbi walivyomfanyia Jk kwa kushirikiana na Sumaye pale 2005 kwa tuliokuwepo Dom kuanzia Mei mosi mpaka Tarehe 4 hatuwez kusahau ila leo ni Mawazir japo wenyewe hata hawakuwah kuota, Tofaut kubwa ya Jk na Lowassa itakuwa ni kwenye kuwashughulikia hawa wafanya fujo Bungeni maana hivi sasa wangekuwa wananyea kwenye Dustbin!

Wafanya fujooo???? mbona unawasahau wale wanaolala na akina Fk,,,,u
 
Lowasa unapoteza muda hatukutaki hivi unadhani watanzani hatukufahamu hasa ufisadi na uchu wa madaraka unajitesa bure hata hao waliomuita amewanunua siku hizi anawalipa hela wanafunzi halafu anajifanya yeye ndio kaitwa msalimie rostam
 
Back
Top Bottom