Ziara ya Lowassa Tabora yaashiria kumtimulia vumbi Samwel Sitta

Hapo ndipo wanapotuchangnya ccm yeye anacheo gani ccm? Huu niuchu wa madaraka wa kina rostam nahisi ukiwa rais rostam utampa wizara ya nishati na madini
 
Mainvi hata hatosheki wala kuridhika tamaa ya kuingia ikulu inaweza mtowa uhai kwa pressure, ni wazi huyu hawezi

kushinda endapo ccm itamsimamisha, kwanini pressure isimchue kumpeleka jehanam! Tusubiri tuone.....
 
Sasa mkia na jicho wapi na wapi mkuu??? au ndio,,,nini ha ha ha tafsidaaaaa

sasa mkuu mpaka tutaje jina la hyo sehem,nimeamua kutumia tafsida ci unajuw jf bado watoto hawaja lala,ukizingatia ck hz jf imevamiwa na watoto
 
Mie mwenyewe mtoto,,, lakini najua kila kitu,,,,hata nilivyopatikana,,,,na michezo yotee,,,si Bongo muvi inatufundishaa,,, na hizi Zuku nazoo,,,mdingi akishamaliza kuangalia taarifa za habari,,,anaenda kulala,,,nikibaki mwenyewe natazama chanel za mbeleee,,,nao,,,hawachelewi kuweka mambo hayo ya kikubwaaaa,,,so usiogopeeee,,,sisi ni wakubwa wenzenu tuuu,,,sema,,ninyi mlikuwa na kiherere cha kutazama jua.
 
naona unawshwa na hauna kucha,ngja nimtafute pasco aje akukune,manake naona una utani na lowassa

Sasa yero utani na Lowassa unatoka wapi hapo rafiki? Mi nimewakumbushieni ile orodha ya wanaotaka kumrithi jimbo mlioileta hapa hapa jf siku zilizopita. Au umesahau mkuu? Labda umeninukuu vibaya, rudia kuisoma vizuri post yangu.
 
Mie mwenyewe mtoto,,, lakini najua kila kitu,,,,hata nilivyopatikana,,,,na michezo yotee,,,si Bongo muvi inatufundishaa,,, na hizi Zuku nazoo,,,mdingi akishamaliza kuangalia taarifa za habari,,,anaenda kulala,,,nikibaki mwenyewe natazama chanel za mbeleee,,,nao,,,hawachelewi kuweka mambo hayo ya kikubwaaaa,,,so usiogopeeee,,,sisi ni wakubwa wenzenu tuuu,,,sema,,ninyi mlikuwa na kiherere cha kutazama jua.
mkuu mbna umeham tena kwny mada,nakumbuk ulisema utaleta picha na video,sasa naona umebaki kwny majungu tu,au naww unatka kutengeneza muvi kam ya mwigulu,ngashtukaaaaaaaa!
 
Mkuu hadi muda huu picha hujaziona??? au naziona mwenyeweee???? mweeeeee!!!!!!! nimeuhariri uzi kwa kuweka picha,,,hebu tazama vizuri,,,au ndio nimefanya mambo ya kitoto badala ya kuweka pichaaaa????? Kuhusu Muvi hapa kuna Muvi ya PESA na si ya UGAIDI,,,,kho kho kho
 
attachment.php
attachment.php
 
Lowasa ni janga kwa nchi hii lakini asubiri aone aibu kubwa siku sio nyingi,
hakuna msafi ndani ya ccm, wote ni ovyo na wauza unga wakubwa
 
Mainvi hata hatosheki wala kuridhika tamaa ya kuingia ikulu inaweza mtowa uhai kwa pressure, ni wazi huyu hawezi

kushinda endapo ccm itamsimamisha, kwanini pressure isimchue kumpeleka jehanam! Tusubiri tuone.....

presha itakuanza ww na familia yako iwapeleke kaburuni,hv mtu mzm unafikiaje hatua ya kumwombea mtu kifo,sasa kw taarifa yako utatangulia ww na kizazi chenu chenye laaana
 
ITAZAME HIYOO

[video=youtube_share;c04Hcwr2KYI]http://youtu.be/c04Hcwr2KYI[/video]
 
Back
Top Bottom