Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Niko Tabora Mjini, leo na kesho mh. Lowassa atakuwepo katika mji huu wa wanyamwezi.
Pamoja na mambo mengine atakuwa na mazungumzo na viongozi wa CCM mkoa huu, atazungumza na wanafunzi wa vyuo, atazungumza na vijana wa bodaboda, pia ataenda kuweka jiwe la msingi kwenye msikiti mkuu wa ijumaa.
Kesho atakuwa na machifu wa unyanyembe pande za maeneo ya kihistoria Livingstone, inasemekana machifu wamemtaka awe mlezi wao.
Kuna mapokezi makubwa yameandaliwa ambayo yanasemekana yatafunika hata yale aliyofanyiwa Samweli 6 alipokuja mkoa huu muda si mrefu. Hii ni kiasshiria tosha cha kutimuliwa vumbi Samweli kwa mbio za kutafuta ridhaa za wanaCCM za kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi ujao.
Baada ya magharibi nitawawekea picha na video za matukio yatayojiri huku, wajua natumia tecno, na picha napiga kwa kutumia camera ya kujitegemea.
Pamoja hayo hii ofisi ya wilaya haiko mbali na tawi la CHADEMA lilozinduliwa na Zitto, CHADEMA nayo imeshaanza kupata nguvu tafauti na mwaka juzi nilivyoiona.
Mwisho: Siasa si mchezo mchafu, bali ni mchezo wa kujitoa mhanga, binafsi nina shaka na ujuzi wa mtu yule anayesema siasa ni mchezo mchafu.
PICHA ZA ZIARA YA LOWASSA.

WanaCCM walianza kujikusanya mapema kwenye ofisi za CCM wilaya.

Vijana wa chipukizi walifika mapema,,, wakati huu walikuwa wanajichezea michezo ya kiukakamavu[hapa haikuwa rasmi], teh teh teh teh, sanjari na kumsubiri rafiki na mh.Lowassa.
Msafara wa bodaboda ukienda kumpokea Mh. Lowassa.
Mh.Kapuya naye alikuwepo,,,hapa ndio walikuwa wanajiandaa kumpokea Mh. Lowassa. Nitawawekea na video pia, ndio upload.

M/mki wa UVCCM mkoa wa Tabora akiwa na mgeni wake.

Hapa ofisi ya CCM wilaya,,,wakinamama walichezaje??

Haya,,,sasa,,,kumbe TZ tuna White House???? Kazi hiyoooo ya UVCCM. Haya wana Kanyenyeee
VIDEO ZA MAPOKEZI YA LOWASSA.
Niko na video tatu, moja ndio naiweka sasa, nyingine ndio na upload na ya tatu sitaiweka kwanza coz najua itazua kizaa kizaa kuliko hata cha wale jamaa wa KIJA----NI na muvi zao kutengeneza,,,,NITAIWEKA KAPUNI kwa muda huku nikitafuta wakati muafaka wa kuiachia.
[video=youtube_share;c04Hcwr2KYI]http://youtu.be/c04Hcwr2KYI[/video]
Njano5.
0784845394