Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,252
- 18,448
Leo unafanya na nani? Knn?nape?Mhhh we umeshashindikana, hata haujielewi, ngoja nijiandae kufanya yangu asubuhi hii niachane na haya maujinga.
Leo unafanya na nani? Knn?nape?Mhhh we umeshashindikana, hata haujielewi, ngoja nijiandae kufanya yangu asubuhi hii niachane na haya maujinga.
​Kiswahili muharibu na ona sasa mnaingilia na lugha ya watu iliuokuja kwa mashuaAnd U need to be refered to MILEMBE in Dodoma.
Ndugu mshana jrBado nishauri tu kwamba kuna mengi ambayo ccm ikiyafanya yatakuwa na positive impact kubwa sana kuliko hiyo mikutano ya hadhara na picha kama hiziView attachment 235828View attachment 235829View attachment 235830hakuna umakini hapa!
Wananchi wanakusanyika kwa wingi ili kuangalia vituko, wanakuwa na furaha ya muda katikati la lindi la ufukara wa kutisha
ccm ilishajenga chama kimekomaa hakihitaji hizi ziara kwasasa na propaganda tasa kuna mambo yanatakiwa yafanyike kwa vitendo,
-matamko yameshatosha
-mabandiko yameshatosha
-maonyo na makemeo pia
Kama chama tawala kinatakiwa kuchukua hatua sasa kuanzia wakati ule wa kuvua gamba mpaka escrow
​ni kweli bora ukafue chupi tu mana huna cheo chochote ndani ya chama, umebaki kuwa mwanachama wa SISIEM kwenye mitandaoMhhh we umeshashindikana, hata haujielewi, n[SUP]goja nijiandae kufanya yangu asubuhi hii niachane na haya maujinga.[/SUP]
Ndugu;​ni kweli bora ukafue chupi tu mana huna cheo chochote ndani ya chama, umebaki kuwa mwanachama wa SISIEM kwenye mitandao
Ndugu mshana jr
Haya ni mawazo yako ambayo ni subjective.
CCM haishindi chaguzi mbali mbali kwa bahati mbaya bali kwa mikakati ambayo unaweza ukaiona haifai.
Moja ya malengo ya CCM ni kushinda chaguzi katika msingi wa sera na Ilani ya Uchaguzi.
Baada ya kushinda chaguzi, kazi ya CCM ni kuhakikisha sera na Ilani yake ya Uchaguzi inatekelezwa na serikali.
Hatuendi vijijini kufanya mikutano ya hadhara pekee bali mikutano ya hadhara ni sehemu mojawapo ya kukutana na wananchi.
Tunaweza kukubali kutokubaliana!
![]()
Kweli bila ccm kuonesha vioja na wanyama hawapati watu ili wapige picha kuwa wana wafuasi wengi, walio wengi kwenye mikutano ya ccm wanakwenda kuona matukio na si mwamko na mapenzi ya ccm, wengine wanakwenda kushangaa ngoma, magari na si kwamba ni wapenzi wa ccm
MwanaDiwani upo sahihi kabisa inapaswa kuwa hivyo lakini bahati mbaya sana kinavyofanyika kwasasa ni kinyume na matarajio ya wengiNdugu mshana jr
Haya ni mawazo yako ambayo ni subjective.
CCM haishindi chaguzi mbali mbali kwa bahati mbaya bali kwa mikakati ambayo unaweza ukaiona haifai.
Moja ya malengo ya CCM ni kushinda chaguzi katika msingi wa sera na Ilani ya Uchaguzi.
Baada ya kushinda chaguzi, kazi ya CCM ni kuhakikisha sera na Ilani yake ya Uchaguzi inatekelezwa na serikali.
Hatuendi vijijini kufanya mikutano ya hadhara pekee bali mikutano ya hadhara ni sehemu mojawapo ya kukutana na wananchi.
Tunaweza kukubali kutokubaliana!
JB inabidi amshirikishe kinana kwenye movie zake...anaonekana kuwa mwigizaji mzuri sana
Kazi na dawa
mhhh we umeshashindikana, hata haujielewi, ngoja nijiandae kufanya yangu asubuhi hii niachane na haya maujinga.
And U need to be refered to MILEMBE in Dodoma.