Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

 
ndo huyu mzee anaetembea na wakeze wawili?

ndo huyu bwana ..yaani ana midude miwili anaenda nayo kila mahali sasa sijui analalaje nao..wazeee hawa bwana
 
ndo huyu bwana ..yaani ana midude miwili anaenda nayo kila mahali sasa sijui analalaje nao..wazeee hawa bwana

Kiongozi kuwa na busara na heshima nadhani hufai kuwa mtanzania kama unazarau wazee? Kijana huna nizamu hata kidogo mheshimu kwa umri wake na mafanikio ambayo amekuzidi
 

You are just confusing us!
 
huyu mzee mi namuoneaga huruma tu sijui kwa nini ...yaani mara mia shein ....yani yuko kibwege ***** tu
 
Mr. Oyoyoo jana nilishindwa kukujibu ujumbe wako kutokana na mgao wa umeme. Ziara ya Makamu Wa Rais Dr. Mohamed Gharib Bilal ilitanganzwa mtaa kwa mtaa katika jiji la Mbeya kwa muda wa siku mbili asubuhi na mchana, tangazo lilikuwa linawataka wananchi wajitokeze kwa wingi kumpokea mheshimiwa huyo katika uwanja wa ndege bila kukosa. Katika uwanja wa ndege ambao mimi nilienda kumpokea kwa kutumwa na ofisi nikiwa na gari ya ofisi. kwa hiyo ninachokisema na ninachokiandika ni cha kweli. Sina muda wa kuandika uongo na ukizingatia mimi ni graduate. Kwa mfano kama ziara hiyo ingekuwa ni ya Dr. Slaa kuja Mbeya kufungua Ofisi ya CDM Mkoa watu katika uwanja wa ndege wangekanyagana. Tuache ushabiki, tujadili uhalisia.
 
Hapo ni bada ya kutangaza kwa siku mbili ujio wake na magari tofauti kwenye kona za jiji
Nilikuwepo mjini mimi,matangazo ya siku ya kuja yaliendelea mpaka muda mfupi kabla ya jamaa kufika
Ana haki ya kulakiwa na hao waliojitokeza baada ya gharama kubwa ya kumtangaza,ila nawaambia wanajamvi kama ni kulinganisha nani anakubalika zaidi kati ya CCM na CHADEMA subirini siku SLAA atakapoingia Mbeya
 
Hao kwenye picha kila mmoja kalipwa kiasi gani,
maana nasikia kwa hapa kwetu ni kuanzia 40000,
embu tupashe!
 
kama ccm wanacmamia hilo mbona maendeleo hatuna?
KK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…