Ziara ya Dk Slaa Unguja yadoda mno

Ziara ya Dk Slaa Unguja yadoda mno

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika

807915.jpg


2082989.jpg

baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza Dk Slaa
 
Lete ushahidi wa picha siyo kukurupuka tu kama umefumaniwa.
 
mimi najua kuwa Limau huwa linikamuliwa. je na wewe unakamuliwa?
 
limau Hivi bila kuvaa baragashia hasikilizwi mtu huko Zanzibar au ni ulaghai wa wanasiasa?
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika

807915.jpg


2082989.jpg

baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza dk slaa

cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Walivyokaa sasa hapo chini!!

"Nchi ngumu hii"
 
Sijui anaafuata nini kwenye nchi ya watu....
 
Sijui anafuata nini kwenye nchi ya watu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom