Ziara ya Christowaje Mtinda Singida Magaribi yaifuta CCM

Ziara ya Christowaje Mtinda Singida Magaribi yaifuta CCM

Duuu.! mwaka huu ni shida kwa hawa ndugu zangu ccm lazma moto uwake.

na kweli! Ila ccm hawahitaji huruma wacha kuwake kote wapotee mbwa hawa!.kina mama wanajifungulia chini mpaka leo,huko singida ndo kabisa.wacha ccm ifutwe
 
Mtia nia wa Jimbo la mkalama George Gunda kupitia chadema alitoa somo zuri sana mpaka wananchi wamesema wanataka uchaguzi ungekua leo wafute ccm kabisa
 
Huyo chini ni mdogo wake Tundu Lissu,Chadema ni chama cha kiukoo

Shida yako na Tundu Lissu family ni ipi? Angalia hapa,
*mtoto wa Mgimwa- iringa,
* mtoto wa kawawa- Lindi,
* mtoto wa kikwete- chalinze pamoja na Mkurugenzi shangazi yake Ridhiwan,
* Mtoto wa Mwinyi- Rahaleo- zanzibar,
* mtoto wa Makamba- Tanga bumbuli,
* mtoto wa Aboud Jumbe- Bandar zanzibar
* watoto wawili wa Abeid Karume mmoja Balozi kule Uk na mwingine Rais mstaafu,
* mtoto wa Nauye( capteni wa jeshi) Nnape Nauye katibu mwenezi Taifa,
Sasa hapo bado walioko BOT,na wizara za nje,unataka kusema nini nawa kabla hujala bwana.
 
Back
Top Bottom