Ziara ya Christowaje Mtinda Singida Magaribi yaifuta CCM

Ziara ya Christowaje Mtinda Singida Magaribi yaifuta CCM

Shida yako na Tundu Lissu family ni ipi? Angalia hapa,
*mtoto wa Mgimwa- iringa,
* mtoto wa kawawa- Lindi,
* mtoto wa kikwete- chalinze pamoja na Mkurugenzi shangazi yake Ridhiwan,
* Mtoto wa Mwinyi- Rahaleo- zanzibar,
* mtoto wa Makamba- Tanga bumbuli,
* mtoto wa Aboud Jumbe- Bandar zanzibar
* watoto wawili wa Abeid Karume mmoja Balozi kule Uk na mwingine Rais mstaafu,
* mtoto wa Nauye( capteni wa jeshi) Nnape Nauye katibu mwenezi Taifa,
Sasa hapo bado walioko BOT,na wizara za nje,unataka kusema nini nawa kabla hujala bwana.
Asante sana kamanda
 
Mingoi ukimsimamisha christowaja kuchangia bungeni,jua hapo usimamishe usimamishe viti maalum wa ccm wote ndo mchango wao umfikie kamanda huyu wa singida.
 
Shida yako na Tundu Lissu family ni ipi? Angalia hapa,
*mtoto wa Mgimwa- iringa,
* mtoto wa kawawa- Lindi,
* mtoto wa kikwete- chalinze pamoja na Mkurugenzi shangazi yake Ridhiwan,
* Mtoto wa Mwinyi- Rahaleo- zanzibar,
* mtoto wa Makamba- Tanga bumbuli,
* mtoto wa Aboud Jumbe- Bandar zanzibar
* watoto wawili wa Abeid Karume mmoja Balozi kule Uk na mwingine Rais mstaafu,
* mtoto wa Nauye( capteni wa jeshi) Nnape Nauye katibu mwenezi Taifa,
Sasa hapo bado walioko BOT,na wizara za nje,unataka kusema nini nawa kabla hujala bwana.

Kwa hiyo mnaiga ya CCM?
 
Back
Top Bottom