Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Ziara ya Mh.Christowaja Mtinda mbunge viti maalumu mkoa wa singida,amefanya ziara ya ujenzi wa chama kama mtia nia jimbo la singida magharibi kupitia Chadema. Mikutano ilikua ni kitongoji kwa kitongoji. Pia wananchi walimueleza christowaja kua michango imekua mingi na faini, waja akawaambia hukumu ipo mikononi mwao october kuwatoa ccm. Wananchi wamemkubali Christowaje kwa mafanikio makubwa sana.
Wazee na vijana wa kisukuma na wanyaturu wamesema hawataki hawaitaji tena Ccm kwa kudanganywa sana. Christowaje amewaambia maisha duni na wao kusumbuliwa na watendaji ni udhaifu wa serkali ya ccm
Nae kamanda George Gunda (mtia nia ya Ubunge Mkalama kupitia Chadema). Alikuwa katika ziara hiyo aliwaambia wananchi hao kua kama kuna kosa tumefanya serkali za mitaa, basi tumebakiwa na nafasi moja nayo ni oktober udiwani,ubunge na uraisi bila chadema tutaendelea kuumizwa, pia Kamanda George aliuliza vijana ambao wapo tayari kujifunza mbinu za kulinda kura,waliinua mikono mpaka na wazee!.
Wananchi wa mepokea kwa kwa mwamko mkubwa sana ziara hiyo nawamekubali mabadiliko wanasubiri uandikishaji wa kupiga kura ili waiondoe ccm.
Aluta Continua