salmar
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 799
- 363
Ndugu zangu ma great thinkers na mods wa jf plz musiifute wala kuipeleka mada hii kwenye jukwaa la michezo cuz haifungani huko hii mada ni ya kisiasa zaidi. Nikiwa na mshangao vipi kikundi cha watu wanaojiita ZFA waweze kuamua mambo yao kisiasa na sio kusimamia mchezo wa mpira zanzibar. Wachezaji wa zanzibar heroes walisimamishwa baada kuchukua chao mapema na tukawaona hao ccm zfa wakitoa vitisho vyao vya kuwafungia wachezaji wao wote sikufichi mm nipo uwanjani hapa na nawaona kina agry mcha salum abubakar wakicheza first eleven hapa na zambia.sasa najiuliza hawa zfa na kuwafungia hao mabingwa wa tatu amri hyo imeishia wapi ama karipio lao mwisho chumbe jee hawatambuliki na fifa. Kweli zfa ccm ni zaidi ya genge la wachumia tumbi