Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
tabia za kuita wake za watu uache
ila si unajua mwenyewe anamiliki mabomu eeeh
Huyu ni Shehena, anapenda kusifiwa na watu hatakama analolifanya ni haramu kwa dini yake.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Huyu shehe ni wa ukweli sijapata kuona.
Huwezi kuta mahubiri yake yanahusu kuvaa mabomu kama wengine.
Shehe huyu anathamini utu wa watu wa imani nyingine kuliko nafsi yake.
Huyu shehe nikukutaga mahubiri yake, nayasikiliza mpaka mwisho.
Nahisi moja ya wazazi wake wamesoma misheni au yeye alisomea shule za seminari.
Sura yake tu inaonyesha utu, huruma na roho ya kutolipiza visasi au kujitoa mhanga.
Mashehe wengine utakuta sura zimejaa jazba na roho za kulalamika.
Huyu shehe ana thredi thredi nyingi za kumwelezea jinsi alivyotofauti na wengine.
Mmmmmmmmhhh
wewe wasiwasi wako tu hampo wengi kihivyo
hahahah tupo wngap??
mkuu nina ak47
Etiiii...
Hapo kwenye red, dini inakuamrisha umdhanie mtu?
Sema jambo kwa ushahidi
Huyo shehe hapo ndio analingania?
Moja kati ya mashekhe ninaowaheshimu nakuwakubali kutokana na mitazamo yao kiimani...
Nyie mnaojifanya mmesoma sana dini mmeufanyia nini uislam? Tatizo mnajfianya wajuaji sana wakati nyie ndo watenda maovu wakubwa. Laiti kama mngekuwa wasomi wenye kumfuata mtume s.a.w basi wengi wangeingia ktk uislam kwa hiari zao kutokana na matendo yetu sisi waislam. Waislam kama wewe mnaojifanya mwaijua sana dini ndo balaa tena afadhali sisi ambao hatujasoma sana na ambao bado twaitafuta elimu huku mkitudharau.
Jihadi kubwa iliyobaki duniani kwetu sisi waislam nikubadili nyoyo zetu. Na hiyo ndo ngumu zaidi kwani tumejenga uadui mkubwa miongoni mwetu. Shekhe huyu hampendi yule, huyu amuona yule hana elimu na mengine mengi. Hayo ndo tuliobakiza ndo maana uislam unayumba
Yah hata mimi pia nimeshakutana naye mara mbili kwenye ishu za kidini yuko very very positive na misimamo yake inaeleweka
Njaa itawapeleka motoni hawa masheikh wa bakwata!sindio huyu alijiita JAJA Kwenye mechi na wale makafiri?