Zero distance inaswihi ?



takbiiiir
 

Nyie mnaojifanya mmesoma sana dini mmeufanyia nini uislam? Tatizo mnajfianya wajuaji sana wakati nyie ndo watenda maovu wakubwa. Laiti kama mngekuwa wasomi wenye kumfuata mtume s.a.w basi wengi wangeingia ktk uislam kwa hiari zao kutokana na matendo yetu sisi waislam. Waislam kama wewe mnaojifanya mwaijua sana dini ndo balaa tena afadhali sisi ambao hatujasoma sana na ambao bado twaitafuta elimu huku mkitudharau.

Jihadi kubwa iliyobaki duniani kwetu sisi waislam nikubadili nyoyo zetu. Na hiyo ndo ngumu zaidi kwani tumejenga uadui mkubwa miongoni mwetu. Shekhe huyu hampendi yule, huyu amuona yule hana elimu na mengine mengi. Hayo ndo tuliobakiza ndo maana uislam unayumba
 

Wewe na huyo shekhe wako chungu kimoja.
 
Huyu Sheikh ni kipenzi cha watu.

Huyu shehe ni wa ukweli sijapata kuona.
Huwezi kuta mahubiri yake yanahusu kuvaa mabomu kama wengine.
Shehe huyu anathamini utu wa watu wa imani nyingine kuliko nafsi yake.
Huyu shehe nikukutaga mahubiri yake, nayasikiliza mpaka mwisho.
Nahisi moja ya wazazi wake wamesoma misheni au yeye alisomea shule za seminari.
Sura yake tu inaonyesha utu, huruma na roho ya kutolipiza visasi au kujitoa mhanga.
Mashehe wengine utakuta sura zimejaa jazba na roho za kulalamika.
Huyu shehe ana thredi thredi nyingi za kumwelezea jinsi alivyotofauti na wengine.
 

Sitashangaa nikisikia amepandikizwa na kanisa kuwa kiongozi wa bakwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…