Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Nko na kahela kaboom Tu.
Eti enhe now Nina week tatu ..sijagusa hio kitu wala picha za Xvideos...Jah bless nitafikisha 354 days...wapiga nyeto wengi duniani hukutana na hii adha ya lack of confidence bt kaza buti unaelekea kua mshindi
pole lakini ninamashaka na utongozaji wako, unapotongoza kwanza angalia type yako halafu jitahidi kwenda direct to the point kuwa unataka ngono usizunguke zunguke ukijaribu kwa siku mademu kumi lazima wawili wakubaliHabari poleni na majukumu,ya ujenzi wa taifa .Naenda straight to the point kwamba Mimi ni kijana miaka ishirini na nne lakini nimekuwa kila nikaaproach mwanamke sometimes nakataliwa sometimes nakubaliwa ila SASA kila nikiomba kile kitendo(unyumba) naishia kupigwa calendar kila siku Niko DODOMA nimefikia final decision ya kwenda kununua Malaya(prostitute's).
Kwa sababu nimefanya masterbation (puchu). For almost miaka Tisa. Lakini SASA Ile confidence ya kwenda na kununua najikuta sina ,nasikia Tu location za Kwa DODOMA ni,uwindini, najikuta Niko dillema nyeto sipendi kupiga. Confidence ya kwenda machimbo ya Malaya sina hata sijui nafanyaje?..
Shida ni kupata mzigo na Kula tunda ndio shidapole lakini ninamashaka na utongozaji wako, unapotongoza kwanza angalia type yako halafu jitahidi kwenda direct to the point kuwa unataka ngono usizunguke zunguke ukijaribu kwa siku mademu kumi lazima wawili wakubali
Sawa,kinga muhimu ugolo Una faida gani anaotumiaKuna mdogo wangu mmoja anatumia sana ugolo ana tatizo kama la kwako.
Kwa malaya (wauza uCh!) kuwa makini wengi wao wameathirika
Ni ulevi tuSawa,kinga muhimu ugolo Una faida gani anaotumia