Zero bado niko hai nazichakata, uliyenizushia Kifo mungu anakuona

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Nimepokea salamu na pole nyingi sana PM yangu siku ya jana zinakinitakia hali na wengine kushtuka juu ya taarifa niliyozushiwa humu sijui na member gani kwamba Zero IQ, yaani mimi Zero C.E.O wa kampuni na kiwanda cha uchakataji wa viazi kuwa chipsi ya kwamba nimeaga Dunia(kufariki)

Nataka nitoe ufafanuzi ni kwamba hizi taarifa ni za uongo, mimi zero niko hai na ni mzima wa afya wala sijaumwa homa yoyote kuanzia mwaka huu uanze mpaka sasa,

Ukimya wangu hapa kati ilikuwa ni kwa sababu ya kubanwa na majukumu ya kazi pale kiwandani ila kwa sasa nipo likizo na nitakuwa hapa jukwaani kupeana taarifa, habari, mipasho na Nk.

Mwisho nawashukuru moderator kwa kuufuta kabisa huo uzi ulionizushia kifo,

Asante
Niko busy nakula mbususu ya kimakonde.

Cc Zero iq

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Weka ushahidi kuthibitisha kuwa ni kweli uko hai
 
Tunashukuru kwa ufafanuzi/ muongozo, na pia tulaani tukio hilo/ hayo yakuzushiana kifo/vifo kwasababu ni kuonyesha wazi watu wanakuonea wivu/gere C E O wa kiwanda tajwa hapo juu.

Tuko pamoja katika kuhakikisha kiwanda kinaongeza uzalishaji na kulisha hadi nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Asante sana mkuu

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Yaani umekuja mjini kabla ya chips afu mtu anakuzushia umedanji!!aiseee kweli niliogopa nikahuzunika msela eti umeuma shuka
 
Back
Top Bottom