Dark Angel
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 212
- 220
Kisiwa cha Pemba ni maarufu kwa zao la Karafuu lakini pia katika upande wa vyombo vya usafiri hasa wa kubebea mizigo ni ng'ombe.
Kisiwani humo, ni jambo la kawaida magari kupishana na ng'ombe katikati ya mji. Magari yanabeba abiria, ng'ombe nao wanabeba mizigo.
Arnold Kayanda aliyekuwa kisiwani humo alimtembelea mmiliki mmoja wa ng'ombe ambaye maisha yake hayawezi kutenganishwa na ng'ombe wake.
Mpiga picha za video ni Tulanana Bohela.
Source: BBC