Zenj tishio katika riadha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zenj tishio katika riadha

Discussion in 'Sports' started by Kibunango, Jun 30, 2009.

 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Zanzibar underlines supremacy in athletics

  Athletes from Zanzibar Urban West were the most impressive in the just ended national championships staged at the National Stadium in Dar es Salaam last weekend.

  The Isles athletics team hauled 23 medals, comprising 13 gold, six silvers and four bronzes to top the medals final standings.

  The women athletes won the overall award as men finished second in the track and field events.

  The women athletes scooped six gold, two silver and bronze medals as men had seven gold, six silver and three bronze medals.

  The Zanzibar athletes were superb in short distance races, shot put, triple jump and javelin.

  It was an all Zanzibar affair in the 100 metres dash as Yassin Muhidin and Makame Ally dominated the proceedings to exchange the first and runner up positions, respectively.

  The duo were separated by just ten seconds with Muhidin huffing to the finishing line first on 10:60 seconds.

  Mariam Hassan and Hashiria Hashim also dominated the 100 metres sprints while Muhamed Ibrahim, Ally Seif and Hamisa and Tama Jaha excelled in shot puts.

  Muhidin was also impressive in triple jump.
  Zanzibar athletic team were followed closely by Arusha Region and the host region Dar es Salaam, came third in the final standings.
   
 2. I

  Idda Member

  #2
  Jun 30, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waende Kenya ndo wajute kuzaliwa.
  Huko wataonekana wanachechemea tu.
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kamanda, naona hujasoma vizuri bandiko hili, Zenj (Zanzibar) ni wazuri sana katika riadha na hasa katika mbio fupi na michezo mingine. Sio wataalamu wa mbio ndefu kama Kenya ama Arusha ama Singida au Manyara kwa upande wa Tanzania Bara.

  Wazenj wameweza kuutumia vema uwanja wao wa Amani katika kujiimarisha katika track and field.. Na wana rekodi ya muda mrefu ya kuwasumbua watz bara katika hili.

  Ikubukwe kuwa Tz bara kwa muda mrefu wamekuwa hawana viwanja venye hadhi ya kimataifa the same to Kenya... hadi miaka ya hivi karibuni, ingawa wakenya wapo mbele kwa Watz Bara.

  Hongera sana kwa Wazenj kwa kuweza kutamba katika mashindano haya ya Taifa. Zile kejeli za Mbatata za urojo itabidi wajiulize mara mbilimbili..:D
   
 4. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,084
  Likes Received: 15,722
  Trophy Points: 280
  Hongera zao. Ila wasijipweteke na kupenda kulalamika tuu. Ni mwanzo mzuri
   
 5. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unanikumbusha miaka hiyo tulikuwa na wanaridha kina dada Ufiliya sijuwi alimalizikia nchi gani kama kuna mtu ana data zake aweke atakuwa bibi kwa sasa
   
 6. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kibunango ni wazuri sana tu katika riadha hasa hao ndugu zetu wa kike. Hawakuanza leo. watafute akina Amina Kapenta wakusilmulie enzi zao. Saada Yussuf, na vitoto vile vya enzi zile za miaka ya sabini na thamanini. Wee acha tu hao wanakimbia kweli!!!
   
 7. kinetiq01

  kinetiq01 Member

  #7
  Jul 1, 2009
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kenya haina wakimbiaji wa mbio fupi. Hata hao wazanzibar sprinters wako bora kuliko wakenya.

  Kwa Tanzania, maeneo yanayotoa sprinters ni Zanzibar, Iringa na Mbeya. Singida, Arusha ni mbio ndefu.
   
Loading...