Pro-CDM-JF,wanafurahishana yaani kila mtu mtaani akipingana na hoja za CDM mnakuja kumshtaki humu JF, inashangaza kwa kweli, mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse CDM
Uko sahihi kaka
Pro-CDM-JF,wanafurahishana yaani kila mtu mtaani akipingana na hoja za CDM mnakuja kumshtaki humu JF, inashangaza kwa kweli, mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse CDM
huja eleweka.......Sasa aseme nini na Wabunge wa CDM wahuni? mtu mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono walichokifanya labda na wewe unafanana na wana CCM wa mwenyekiti lakini WAsomi tunaagalia Unachokifanya ni sahihi kwa wakati uliopo..Sio kujifanya CDM damudamu.
Kama unajua humu ni kwa CDM unatafuta nini kama si UMBEA...Pro-CDM-JF,wanafurahishana yaani kila mtu mtaani akipingana na hoja za CDM mnakuja kumshtaki humu JF, inashangaza kwa kweli, mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse CDM