Zembwela zuzu

Pro-CDM-JF,wanafurahishana yaani kila mtu mtaani akipingana na hoja za CDM mnakuja kumshtaki humu JF, inashangaza kwa kweli, mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse CDM

Uko sahihi kaka
 
Huku mtaani kwetu,mijitu mijinga jinga,mipoyo poyoyo...huwa tunawaitaga (mizembwela)
na mara ya mwisho kumsikiliza huyo poyoyo zembwela,ni kwenye ile mambo nyamongo tarime,zembwela linahoji eti"jamani bila aibu tumefika mahali tunagombania maiti??pasipo kuangalia nyuma na mbele"
 
Sasa aseme nini na Wabunge wa CDM wahuni? mtu mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono walichokifanya labda na wewe unafanana na wana CCM wa mwenyekiti lakini WAsomi tunaagalia Unachokifanya ni sahihi kwa wakati uliopo..Sio kujifanya CDM damudamu.
huja eleweka.......
 
Pro-CDM-JF,wanafurahishana yaani kila mtu mtaani akipingana na hoja za CDM mnakuja kumshtaki humu JF, inashangaza kwa kweli, mitume wa Mungu wenyewe walikuwa wanapigwa sembuse CDM
Kama unajua humu ni kwa CDM unatafuta nini kama si UMBEA...
 
HUYU JAMAA NIMSIKILIZA NIKAONA ANAKUWA ANAWASAFISHA MAGAMBA LKN WANANCHI KWA SASA WASHAJUA MTU MWENYE MINJAA NILUWA NINAFIKIRIA NI KIBONDE TU KUMBE HATA HUYU MWEHU YUMO wahenga walisema ukiona chombo kina oshwa sana ujue kumechakaa magamba yamechakaa piples poweeer
 
we zuzu zaidi hata ya huyo unayemuita zuzu. We utapotezaje muda kumsikiliza zuzu..IDIOT
 
Ukitaka kujua jamaa haja kua,sikiliza anavyo jitambulisha redioni na Aka zake
anazo kama kumi hivi na zote ni upuuzi.Haiendani na kazi anayofanya labda
kama angekuwa ni mchekeshaji redioni,hizo AKA zingefaa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom