mkuu naomba unisaidie,hivi hii sera ya kutoa ahadi pale mtu anapotafuta kuchaguliwa badala ya kueleza Yale aliyokwisha kufanyia nchi au kundi analotaka limchague ilianza lini na wapi ilianzia?
Tatizo Bawacha mnachojua ni matusi tuu! Jimbo linapokosa maendeleo wa kwanza kuulizwa ni Mbunge!Jamaa ni Zumbukuku,anaongea asiyoyajua na kushadadia,loh atachomolewa kucha,dogo pigia wataalam simu wakueleweshe kama "shogaz wa Blauzi fm wanavyofanya"
Acha kupanic huo Mfano nimeutoa kuoonesha kuwa Zembwela yuko sawa na Kazi ya mbunge ni kuhishinikiza serikali kuahakikisha maendeleo yana patikana na hakishindwa yeye ndiye wa kwanza kupewa lawama!
Mnyika Swala la maji limemshinda na bahati mbaya hawezi kurudi bungeni Tena!
Hebu twambie kazi ya mbunge na diwani ni nini?!
Jimbo linapokosa maendeleo nani wa kwanza kuulizwa?
Wabunge na madiwani wanachaguliwa na wananchi ili kusaidia kuimiza serikali kuleta maendeleo na wanapo shindwa wao ndio wa kwanza kulaumiwa ?
Hivi unafikiri wamechaguliwa kuuza sura?
Zembwela yuko sahihi kabisa sema mleta mada ni mvivu?
Hivi unafikiri kwa nini wakazi wa ubunge wana mlaumu John mnyika kwenye swala la maji?
Hivi unafikiri kwanini John Mnyika alitoa ahadi ya kuwapatia Maji akipewa ubunge?
Mkuu endelea kuwaelimisha nakumbuka Mnyika alisema atatuleletea maji na hadi leo tuna mdai!...mkuu hakuna sera ya namna hii ila hii style imekuja kutokana na watanzania kutokuwa wafuatiliaji wa mambo na kushindwa kuwawajibisha wale wanaoshindwa kuwatumikia. Wakati huohuo watanzania tunapenda kusikia ahadi nzuri bila kuhoji utekelezaji wake. Nakumbuka kunakipindi mh.maghembe alisema kufika 2014,90% ya wakazi wa DSM watapata maji safi. Walipo muuliza atapata wapi pesa na wakati bajeti yake ni ndogo alikuwa mbogo kwelikweli akisema unauliza serikali itapata wapi pesa ?matokeo yake mpaka leo kashindwa kutimiza ahadi yake...
Vijana wote ambao wako chadema, ndio uwezo wao wa kufikiri unapoishia. Tusishangae sana...
Tatizo Bawacha mnachojua ni matusi tuu! Jimbo linapokosa maendeleo wa kwanza kuulizwa ni Mbunge!
Jukumu la Mnyika ni kuimiza serikali kuwaletea wana ubungo maji na alikubali kubeba jukumu hilo na kama hawezi sisi tutampa mtu mwingine 2015 ....so kwa mtazamo wako mnyika ndo anapaswa kujenga miundombinu ya maji toka ruvu mpaka ubungo,em tusaidie kuondoa uvivu...
Nimefuatilia kwa muda mtazamo
wa huyu mwanahabari zembwela na nimegundua kunamambo hafikirii sawa.
Kwa mtazamo wake ni kwamba mbunge na diwani ndo mwenye dhamana ya
maendeleo ya jimbo. Sitaki kuhoji kiwango chake cha elimu,lakini kwa mtu
mwenye ufahamu unajua nani anawajibika kuleta maendeleo na nani
anapaswa kupeleka vipaumbele vya wananchi husika. Bwana mdogo zembwela
nadhani unapaswa kuwaunganisha vijana kuishinikiza serikali kutimiza
yale mliyowatuma wabunge wenu wakayapeleke serikalini kwa kutengewa
bajeti na utekelezaji. Lakini ukiendelea kuwaaminisha watu uzembe wa
serikali ni wa mbunge unakosea. Sote tunawajua wabunge wawajibikaji na
wazembe na lazima tuwawajibishe,lakini hujuma za serikali kwa baadhi ya
wabunge kuwafanya hawawajibiki ndo kumezaa mfuko wa jimbo. Sasa wabunge
wakiwa watendaji nani ataisimamia serikali ? Mwisho nilistuka na kuogopa
zembwela alipowahamasisha wananchi kumng'oa diwani bila uchaguzi eti
hawawezi kusubiri uchaguzi wakati anachelewesha maendeleo. Nahisi sheria
ya uchaguzi haijui. Amekomaa na azimio la arusha bila kujua kuna azimio
la zanzibar wameleta ccm.
Jukumu la Mnyika ni kuimiza serikali kuwaletea wana ubungo maji na alikubali kubeba jukumu hilo na kama hawezi sisi tutampa mtu mwingine 2015 .
Pamoja hajengi yeye madaraja lakini yakijengwa sifa zote anapelekewa yeye....sawa kabisa wa kwanza kuulizwa ni mbunge,lakini atajibu kwa nafasi yake amefanya nini,na serikali itakuwa ya pili kujibu kwanini haikusikia na kutenda tulicho mtuma mbunge wetu. So kuwa wakwanza haimaanishi ndo anawajibika kujenga madaraja...
hakuna mwana ccm hata mmoja mwenye uwezo wa kutumia mawazo na hisia zake binafsi pasipo msukumo wowote wa nje na mawazo yake na hata kuja kuweko kamwe!Jukumu la Mnyika ni kuimiza serikali kuwaletea wana ubungo maji na alikubali kubeba jukumu hilo na kama hawezi sisi tutampa mtu mwingine 2015 .
Uzuri sisi wananchi tunaona kama mtu anafanya tulicho mtuma na alicho ahidi!...kiongozi na kama amehimiza na akathibitisha kufanya hilo,lakini serikali haijaleta hapo inakuwaje,atabeba msalaba kwa niaba ya serikali au inabidi waziri awajibike....?
Uzuri sisi wananchi tunaona kama mtu anafanya tulicho mtuma na alicho ahidi!
Kwa kweli mm sina
imabi na waandishi wetu wa vyombo habari, hasa waandishi wa magazeti
hakuna kitj kabisa., mfano hili sakata la uhamiaji, nafasi zilizo futwa
wameandika wanayojua wao tofauti na uhalisia nafasi zilizofutwa ni
kontesbo na coplo wa uhamiaji, lakini wao wameandika nafasi zile 70
afisa uhamiaji msaidizi, tofauti kabisa.
Wewe ni wakuonea huruma yani mtu kasema ukweli mnatokwa na povu!Zambwela ni Commedian Mstaafu wa kipindi cha Mizengwe show. Kujiita mwanasiasa ni utapeli wa karama za watu wengine. BTW hajitambui.