samahini, hivi azimio la arusha lilikuwa kwa ajili ya tanganika au tanzania? Na azimio la zanzibar ni kwa ajili ya zanzibar au? Maana zanzibar ni nchi inayojiendesha kwa katiba yake na serikali yake
"MKINICHAGUA MIMI" Nitahakikisha zahanati inajengwa na tunapata dawa.
Wazazi hamtatozwa michango ya madawati.
Soko la kahawa litapatikana nje ya nchi.
Tatizo la maji litakwisha. Nisisahau umeme.
Kwa kauli hii nani anastahili kuleta maendeleo kwa wananchi. Mr Politician anaona ahadi alizotoa hazijatekelezeka anataka kutuaminisha kuwa sio yeye aliyetoa ahadi.
WAJINGA NDIO WALIWAO
Zembwela ndo Nani?
Ni mjinga mmoja anaboa hata hicho kipindi chake huwa sikisikilizi tena maana ni ujinga anaongeaga
Yupo sahihi sana hapo, Kupitia kwa Wabunge na Madiwani inakuwa ni rahisi kwa serikali kujua matatizo na viupa umbele vya jimbo husika.Nimefuatilia kwa muda mtazamo wa huyu mwanahabari zembwela na nimegundua kunamambo hafikirii sawa. Kwa mtazamo wake ni kwamba mbunge na diwani ndo mwenye dhamana ya maendeleo ya jimbo. Sitaki kuhoji kiwango chake cha elimu,lakini kwa mtu mwenye ufahamu unajua nani anawajibika kuleta maendeleo na nani anapaswa kupeleka vipaumbele vya wananchi husika.
Tupatie kazi za Mbunge na Diwani katika suala zima la kuondoa kero na kuleta maendeleo jimboni mwakeNi kweli kbs Zembwela anatatizo la kutojua pillars of the gvt na mipaka yake kiutendaji.
Nimefuatilia kwa muda mtazamo wa huyu mwanahabari zembwela na nimegundua kunamambo hafikirii sawa. Kwa mtazamo wake ni kwamba mbunge na diwani ndo mwenye dhamana ya maendeleo ya jimbo. Sitaki kuhoji kiwango chake cha elimu,lakini kwa mtu mwenye ufahamu unajua nani anawajibika kuleta maendeleo na nani anapaswa kupeleka vipaumbele vya wananchi husika. Bwana mdogo zembwela nadhani unapaswa kuwaunganisha vijana kuishinikiza serikali kutimiza yale mliyowatuma wabunge wenu wakayapeleke serikalini kwa kutengewa bajeti na utekelezaji. Lakini ukiendelea kuwaaminisha watu uzembe wa serikali ni wa mbunge unakosea. Sote tunawajua wabunge wawajibikaji na wazembe na lazima tuwawajibishe,lakini hujuma za serikali kwa baadhi ya wabunge kuwafanya hawawajibiki ndo kumezaa mfuko wa jimbo. Sasa wabunge wakiwa watendaji nani ataisimamia serikali ? Mwisho nilistuka na kuogopa zembwela alipowahamasisha wananchi kumng'oa diwani bila uchaguzi eti hawawezi kusubiri uchaguzi wakati anachelewesha maendeleo. Nahisi sheria ya uchaguzi haijui. Amekomaa na azimio la arusha bila kujua kuna azimio la zanzibar wameleta ccm.
Yupo sahihi sana hapo, Kupitia kwa Wabunge na Madiwani inakuwa ni rahisi kwa serikali kujua matatizo na viupa umbele vya jimbo husika.
Kinachotakiwa kufanywa na Wabunge na Madiwani ni kujua kero zote za jimbo lake/wadi, baada ya hapo ni kujua kipi kitatuliwe mwanzo na kipi kifuatie! Then anakipeleka serikalini kwa utekelezaji tu!
Kutegemea serikali kuleta maendeleo, ni msingi mbovu wa mipango ya kutatua kero katika jimbo/wadi. Kwa mfano serikali inaweza kusema jimbo lile pajengwe barabara kiwango cha kokoto wakati kero kubwa ni zahanati.
Ni mjinga mmoja anaboa hata hicho kipindi chake huwa sikisikilizi tena maana ni ujinga anaongeaga
Ni kweli kbs Zembwela anatatizo la kutojua pillars of the gvt na mipaka yake kiutendaji. Kipindi cha Super mix kinachorushwa hewani kuanzia saa 3 hadi 7 mchana EA RADIO kilikuwa more logical akiwepo Michael Baruti kwani yeye aliweza hata kumbishia Zembwela pale alipoona kunaombweo fulani la ufahamu!
Ni kweli kbs Zembwela anatatizo la kutojua pillars of the gvt na mipaka yake kiutendaji. Kipindi cha Super mix kinachorushwa hewani kuanzia saa 3 hadi 7 mchana EA RADIO kilikuwa more logical akiwepo Michael Baruti kwani yeye aliweza hata kumbishia Zembwela pale alipoona kunaombweo fulani la ufahamu!
sina tatizo na uhuru wa kuongea ila kwenye redio na unasikilizwa na watu wengi ni vema ukaongea unachokijua. kuliko usichojua usipotoshe umma nao wakaamini maelezo yasiyo sahihi
Kuwasaidia tu, yeye anasikia clausi fm! Ila ni Clouds fm. Punguza jazba mkuu.
Tupatie kazi za Mbunge na Diwani katika suala zima la kuondoa kero na kuleta maendeleo jimboni mwake